Ujasiri wa kidemokrasia tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujasiri wa kidemokrasia tarime

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pcman, Oct 1, 2010.

 1. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Philipp umenitoa machozi ... mungu wangu weeeee
  haya yote ya nini lakini?
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ya Mwembechai na Pemba mlikuwa mnachekelea. :tonguez:
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  khaaaaaaaa????
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  I think you are not a normal man.
   
 6. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaah, kumbe ndo' kulipiza kwenyewe!!!
   
 7. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Bado sijajua inakuwa vipi kama watu wa vijijini tarime wanajua maana ya mabadiliko lakini mtu wa mjini kama dar au miji mingine mikubwa bado wamekuwa ving'ang'anizi wa CCM.Kuna watu walikuwa mashabiki wakubwa wa Obama wakati wa kampeni zake lakini hao hao hawataki kusikia mabadiliko yanatokea Tanzania kwa CCM kuwekwa kando.Sijui ni upunguani au nini
   
 8. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndo amani na utulivu wa watanzania
   
 9. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  PCMAN CD hii inapatikana wapi? Tafadhari sana inahitajika. Je Mwanakijiji DC hii unayo?
   
 10. d

  dotto JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ccm sio kwamba huwa wanashinda kura bali mabavu ndio ushindi wao. Iko siku wataitafuta haki wasiione tena. Amani na utulivu kwao ni ndoto. Ni chama dhalimu. Kutoa watu ngeo za risasi huo ni upunguani. Ndo maana wanadondoka majukwaani. Halafu hawa askari nao kama mazezeta tu.
   
 11. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yakujitakia
   
 12. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  .....hawa CCM watakufa kwa ncha ya upanga siku si nyingi....
   
 13. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If you are a woman, then try me! :tonguez:
   
 14. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ya Mwembechai na Pemba ni ya "kujitakia" basi acheni kumwaga machozi ya mamba ya "ujasiri wa kidemokrasia" kwenye haya ya Tarime.

  Wenzio nimewabana makende yao ya udini, wameamua kuuchuna lakini wewe udini mpaka kwenye nyayo ukashindwa na ukaonyesha kuwa ni mbweha uliyevaa ngozi ya kondoo! :tonguez:
   
Loading...