Search results

  1. jonas255

    Taratibu za kuvunja ndoa bomani

    Habari wana JF Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana. Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa. Asanteni.
  2. jonas255

    Mjane wa marehemu kupata asilimia kwenye pension

    Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki...
  3. jonas255

    Je, mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia fulani ya (pensheni)aliyokuwa anapokea marehemu?

    Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki...
  4. jonas255

    Mjane kupokea pension ya mumewe

    Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki...
  5. jonas255

    Naomba kueleweshwa kuhusu riba ya CRDB ukiuza mkopo

    Wadau habari.. Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye 4500000... Cha ajabu nimewekewa mkopo wa 3900000... Nimefatilia nimekuta bank wamebania tshs 510000...
  6. jonas255

    Naomba kujulishwa kuhusu hisa za makampuni

    Wadau habari. Mimi leo nimenunua hisa 1000 kwenye kampuni sasa nilitaka kujua baada ya gawio la mwaka nitatakiwa kununua hisa zingine kama wanachama wapya au hizo hisa zangu 1000 zitaendelea kunipa gawio la kila mwisho wa mwaka? Natanguliza shukrani
  7. jonas255

    News Alert: DED anapo kataa kupitisha kibali cha uhamisho NA KUFUNGA DATA SHEET

    Habari wanajamvi, inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na baadaye mwajiri huyo akakuombea kibali Tamise kupitia kwa RAS, Katibu mkuu tamisemi anatoa kibali cha...
  8. jonas255

    DED anapo kataa kupitisha kibali cha uhamisho NA KUFUNGA DATA SHEET

  9. jonas255

    DED anapokataa kupitisha kibali cha uhamisho na kufunga datasheet

    Habari wanajamvi, inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na baadaye mwajiri huyo akakuombea kibali Tamise kupitia kwa RAS, Katibu mkuu tamisemi anatoa kibali cha...
  10. jonas255

    DED anapo kataa kupitisha kibali cha uhamisho NA KUFUNGA DATA SHEET

    Habari wanajamvi, inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na baadaye mwajiri huyo akakuombea kibali Tamise kupitia kwa RAS, Katibu mkuu tamisemi anatoa kibali cha...
  11. jonas255

    Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

    WADAU HABARI TAMISEMI IMETOA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOTAKIWA KUAMA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MWINGINE LEO TAREHE 10 AUGUST 2018... NILIKUA NAULIZA BARUA YA UAMISHO HUA ZINACHUKUA MUDA GANI KUTOKA BAADA YA MAJINA KUBANDIKWA KWENYE WEBSITE YA TAMISEMI... NATANGULIZA SHUKRANI
  12. jonas255

    Awamu ya pili uhamisho July, 2018

    Wadau vp AWAMU YA PILI YA UHAMISHO WA JULY, 2018 WANATOA LINI... TULIOOMBA KUPITIA MAKATIBU TAWALA MIKOA HAWAKUTUWEKA KWENYE LIST NA WAKATOA TANGAZO WATATOA LIST YA WATU WA AWAMU YA PILI Mwenye taarifa tunaomba mtujulishe
  13. jonas255

    Awamu ya pili ya uhamisho wa watumishi inatoka lini?

    Wadau habari hivi awamu ya pili ya uhamisho wa watumishi inatoka lini? Walitangaza kua watatoa majina ya awamu ya pili lakini mpaka leo July 27 hakuna majina yoyote yaliyopostiwa Kwa wenye taarifa tunaomba mtusaidie
  14. jonas255

    UHAMISHO JULAI 2018

    WADAU HABARI ZENU... HIVI UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA WA MWEZI HUU MBONA HAWATANGAZI NA MWEZI UNAENDA KUKATA HIVYO... WALITOA MAJINA YA MWANZO LAKINI MPAKA SASA NI KIMYA MAJINA YA AWAMU YA PILI AMBAYO YALIPELEKWA NA MAKATIBU TAWALA MIKOA
  15. jonas255

    Nimejenga uhusiano wa kimapenzi na rafiki wa mke wangu, sasa anatishia kuvunja ndoa yangu endapo nitamuacha

    Wadau habari zenu... Ninaomba ushauri wenu Mimi nimeoa na nipo kwenye ndoa yangu kwa zaidi ya miaka mitano (5)... Bado ninampenda mke wangu. Hivi karibuni rafiki (bestfriend) yake mke wangu ambae nae ameolewa na rafiki yangu (sio bestfriend) amekua ananitega kimapenzi tumekua tunachat kwa muda...
  16. jonas255

    Gari imekataa kuwaka

    Wakuu habari zenu, Gari langu juzi nimeshusha giabox kwenda kuziba palipotoboka, baada ya kurudisha giabox gari imegoma kuwaka.Ikiwashwa injini inazunguka ila inakataa kuchanganya. Nimejaribu kuboost battery na kuwasha kwa kutumia battery ya gari nyingine lakini injini imekataa kuchanganya...
  17. jonas255

    Gari ku-knock injini

    Wadau vipi, Gari langu lilitoboka gia box sasa imeenda kuzibwa gari haiwaki kila ikipigwa stata haiwaki betri ipo poa. Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa ni nini? Kuna fundi wa wiring amenitisha kasema eti injini inaweza ikawa imenok. Je injini inaweza kunok kama gari haitembei au...
  18. jonas255

    Naomba kujua kuhusu hali ya maisha ya wilaya ya Musoma mjini

    Nahitaji kuhamia Musoma naombeni ushauri wenu wenyeji wa uko. Vitu navyotaka kujua ni: A) Bei ya kupanga chumba na sebule B) Hali ya uchumi wa musoma C) Hali ya mzunguko wa fedha D) Kilimo kinacholimwa musoma E) Gharama ya maisha, vyakula na nguo Akhsanteni
  19. jonas255

    Bei ya vyumba vya kupanga musoma

    Habari zenu wadau... Mimi ni mtumishi nimepangiwa kazi halmashauri ya wilaya ya musoma mjini... Nilikuwa naomba kujua bei elekezi ya vyumba vya kupanga chumba na sebule itapendeza ikiwa na choo ndani... Mimi ni mwalimu i receive 400k per month... Please help me
  20. jonas255

    kutopisha uhamisho wa Mtumishi

    wakuu habari za leo. mimi ni mtumishi wa serikali niliandika barua ya kuulizia nafasi ya kuhama. sasa mkuu wa idara akafungua barua yangu na akajua kuwa nataka kuama.... sasa hivi nataka kuanza mchakato wa uhamisho jamaa anasema hatopitisha uhamisho wangu.... je mkuu wa idara akikataa kupitisha...
Back
Top Bottom