Search results

  1. B

    Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

    Nimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo. Tatizo ni kwamba popo wengi wanaishi juu ya dari ya nyumba. Usiku ni makelele,wanachafua dari kwa vinyesi na mikojo. Nilijaribu kumpandisha kijana darini mchana akiwa amefunga...
  2. B

    CRDB muwe makini kwenye mikopo

    Ndugu yangu walitaka kumpiga hela ndefu. Mida ya saa 9 alasiri ya leo huyu jamaa yangu alipigiwa simu na afisa utumishi (HR) wake kuwa afike ofisini haraka,kuna dharura inayomhusu. Aliyoyakuta alitaka kuzimia,hasa kipindi hiki cha Magu. Kuna mtu amechukua mkopo CRDB,tsh 15,000,000/_ kwa jina...
  3. B

    Nini maana ya elimu bure

    Elimu bure toka chekeachea hadi F IV ni moja ya ahadi za Mh Rais,Dr John Magufuli. Kipindi hiki cha mwisho wa mwaka shule zinaandikisha wanafunzi wapya kwa ngazi mbalimbali za elimu. Ndugu yangu amemwandikisha std 1 mtoto wake wa miaka 6,shule ya msingi Kwaang'w,Halmashauri ya Mji,Babati. Huyu...
  4. B

    Awamu ya 5: Kuna ulazima wa kuwateua upya Wakuu wa vikosi vya Jeshi?

    Katiba yetu imempa Rais wa JMT madaraka ya uteuzi kwa watendaji mbalimbali. Napenda kujua kama Katiba inamlazimisha Rais mpya kuanza na timu mpya ya viongozi katika maeneo yote. Hapa napenda kufahamu kama wakuu wa vikosi vyetu vya majeshi ya JWTZ na Polisi watateuliwa wapya,tukizingatia IGP...
  5. B

    African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

    Watanzania wawili M.Samatta na T.Ulimwengu wanaochezea TP Mazembe jioni ya leo wataweka historia katika ulimwengu wa soka. Ni katika mchezo wa pili wa fainali kuwania kombe la ligi ya mabingwa Afrika utakaochezwa jijini Lumbumbashi,DRC,Kati ya TP Mazembe(DRC) Vs USM Alger(Algeria). Mchezo wa...
  6. B

    Channel Ten Mada Moto: Falsafa ya Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere

    Nimekuta kipindi cha Mada Moto, wakijadili falsafa ya Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere(Mzee Nyerere kama Mh Rais Kikwete anavyopenda kumtaja) kuhusu maadui wa Taifa letu; Maradhi, Ujinga na Umaskini. Washiriki ni mama(sijapata jina lake) ambaye ni upande wa mabadiliko kwa misimamo yake, na...
  7. B

    Magufuli ndani ya Jimbo la Karatu

    Leo ni siku muhimu kwa wana-Karatu kumsikiliza mgombea wa CCM,Mh JP Magufuli atakapohutubia hapa mjini muda wa mchana kuanzia saa 8. Mwishoni mwa wiki iliyoisha mgombea wa CDM aliwapigisha jua na vumbi wananchi wa Karatu baada kutangaziwa kuwa atatua hapa,lakini hakutokea kwa kushindwa...
  8. B

    Ujio wa Mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa jimbo la Karatu - Tarehe 02 Oktoba, 2015

    Ni nyumbani kwa aliyekuwa GS wa CHADEMA,Dr Slaa. Usiku wa kuamkia leo ulikuwa wa hekaheka nyingi kwa viongozi wa CHADEMA katika maandalizi ya kupokea ujumbe wa mgombea wa CHADEMA,ELakiambatana na Mbowe,Mbatia, Sumaye na wengine. Magari ya matangazo yalitawanywa Karatu yote,hadi wilaya za...
  9. B

    Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    Hawa ni kati wasanii maarufu wa Bongo Movie kujitokeza hadharani kuwaunga mkono UKAWA, hasa baada ya Lowasa kukatwa na hatimaye kuhamia CDM. Waliahidi kuzunguka Tanzania kumtafutia kura EL ili kusaidia wananchi kufikia mabadiliko waliyodhamiria. Hapa wanatetea uamuzi wao wa kurudi CCM katika...
  10. B

    Humphrey Polepole avamiwa na majambazi

    Aliyekuwa mjumbe wa Tume Maalum ya Katiba (maarufu-Tume ya Warioba) na mchambuzi wa siasa, Humphrey Polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,Mbezi Beach, Dar. Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna...
  11. B

    CCM wamwandaa Magufuli kwa midahalo!

    Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM...
  12. B

    TANESCO, maamuzi yenu ni maangamizi yetu

    Wakuu,naomba msaada tutani. Mwishoni mwa mwezi jana nilifungiwa umeme kwenye kibanda changu.Jana nilikwenda tanesco kulipia umeme 50units walizoniwekea za kuanzia. Nililipa 25,000tsh!! Receipt nikapewa.Baada kuuliza inakuwaje,nikaambiwa kuwa kila mwezi wateja tunatakiwa kulipa 7,000tsh kama...
  13. B

    Observational study: CCM kubeba ubunge Karatu

    Wilaya ya Karatu ni kati ya wilaya chache za mwanzo zilizokubali mageuzi. Imekuwa ni mfano Wa kuigwa kwa wanamageuzi.Kwa muda mrefu ni marejeo hasa kwa CDM jinsi upinzani ulivyoleta nafuu kwa maisha ya wananchi. Ni Halmashauri ya kwanza kufuta kodi ya kichwa,ya baiskeli(shagingi la...
  14. B

    Vasectomy, upasuaji mdogo kwa wanaume

    Vasectomy ni oparesheni ndogo inayofanywa kwa mwanaume kama njia ya kupanga uzazi. Mshipa maalum(vasa deferentia) wa kusafirisha mbegu za kiume(sperms) kutoka kwenye pumbu hukatwa na kufungwa. Kwa hiyo mbegu zinazalishwa, lakini hazitoki. Utafiti uliofanywa Marekani umethibitisha kuwa wanaume...
  15. B

    Msaada kufuatilia simu

    JF ni kisima cha elimu. Nimewasikia watu wakiongea kuwa kuna kifaa kinafungwa kwenye simu,kinaweza kukupatia taarifa kuhusu simu zinazopigwa,SMS zinazoingia na kutumwa kwa hiyo simu nk. Ni ya kweli hayo? Kama ndiyo,inapatikana wapi,bei yake,matumizi pia. Mwenye hiyo ilmu,miminika.
  16. B

    Kagame utampenda tu!

    Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Kagame imesema kuwa wanayo akiba ya chakula kulisha watu wake kwa miaka 2. Sasa hivi wanafanya utaratibu wa kuweka virutubisho lishe. Hii ni tahadhari kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Source:BBC Serikali yetu tukufu ya CCM tunayo cha kujifunza kutoka...
  17. B

    Mh.Mbowe, Mh Ibrah Lipumba na Mh James Mbatia wote ndani ya Channel ten

    Hao waheshimiwa wapo live channel ten,wakijadili ushirikiano wao kuhusu katiba mpya.Ninapata chai sehemu fulani,naangalia kipindi. Jamaa wako serious kweli.Samahani siwezi kuweka mtiririko yanayoongelewa,ila yote ni mazuri kwa wapenda mabadliko. Ninaharaka ya kuwahi kazini.
  18. B

    Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

    Wana JF,kulikuwa na thread hapa JF kuhusu mashaka ya Dr Slaa kwa kiwango cha elimu inayotolewa UDSM.Jana nimepata ujumbe kuwa niangalie ubora wa vyuo vikuu 100 bora Africa."2013 WORLD UNIVERSITY WEB RANKING" Top 100 Universities and Colleges in Africa. 1.Univers. of S.Africa (S.Africa) 2.''...
  19. B

    Chadema arusha:hatuna haja na umeya wa jiji la arusha

    SUALA la nafasi ya meya wa jiji la Arusha limechukua sura mpya, baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kudai kuwa sio ajenda yao ya sasa. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Amani Golugwa, alipozungumza na waandishi wa habari leo jijini hapa kwamba kwa...
  20. B

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick T. Sumaye ndani ya dakk 45 ITV

    Mh Frederick Tluway Sumaye anaongea sasa hivi kwenye kipindi cha dakika 45 ITV.Anazungumzia kuhusu umuhimu wa usafiri wa reli ili kuimarisha uchumi wa nchi na kulinda barabara zetu,pia na vurugu za wabunge bungeni.Ameshauri Wabunge kuwatetea wananchi wote na kuacha ushabiki wa vyama,kwani mbunge...
Back
Top Bottom