Kagame utampenda tu!

Kagame utampenda tu!

bato

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,960
Reaction score
3,476
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Kagame imesema kuwa wanayo akiba ya chakula kulisha watu wake kwa miaka 2. Sasa hivi wanafanya utaratibu wa kuweka virutubisho lishe. Hii ni tahadhari kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Source:BBC
Serikali yetu tukufu ya CCM tunayo cha kujifunza kutoka kwa huyu jeuri Kagame
 
hawana kitu hawa. Chakula wanategemea kahama kuchukua mchele. Wakati kanajifanya kababe, tungefunga mpaka ukaona mziki wake. Maitaji yao wanategemea tz kwa zaidi ya 60 percent
 
Ndo habari zenu mnazolishwa na magazeti kama Uhuru sio
 
Kama ndizi inakaa stoo miaka miwili tuone kwa mara ya kwanza rwanda. Maana wanyarwanda wanajiita waisrael kwa maana hiyo kagame ni yesu.
 
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Kagame imesema kuwa wanayo akiba ya chakula kulisha watu wake kwa miaka 2. Sasa hivi wanafanya utaratibu wa kuweka virutubisho lishe. Hii ni tahadhari kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Source:BBC
Serikali yetu tukufu ya CCM tunayo cha kujifunza kutoka kwa huyu jeuri Kagame

Mkuu unapotoa source toa na specified link. Web ya BBC ni pana sana. hii taarifa nafikiri haiko BBC. Tunaomba link yake humo BBC
 
Akiba ya chakula kwa watanzania anayo Mohammed Enterprises maana serikali inawakopa wakulima mazao yao na kuwalipa imeshindwa
 
Tena ni akiba ya Mchele, yaani ni Ubwabwa na Mandondo kwa kwenda mbele.
 
Nyambafu. Huwezi linganisha kimkoa cha kagame na nchi kama tz. Uwe na akili wewe!

Toa povu, tukana lakini huo ndio ukweli, kama ni nchi ndogo imejitosheleza kwa chakula cha akiba sio wabongo li-nchi likubwa lakini full matatizo ya chakula.
 
acha hawa wetu waendelee kupigiana makelele kule bungeni...
 
kumbe kasema mwenyewe bwana, mi nilidhani BBC ndio walienda kuhakikisha!
 
Nyambafu. Huwezi linganisha kimkoa cha kagame na nchi kama tz. Uwe na akili wewe!

Hili neno Ki mkoa huwa lakera saana. Kama ni Rwanda ni kimkoa hebu tuonesheni basi Mkoa wowote tanzania wao lingana na Rwanda kiuchumi na kimaendeleo mengine.
 
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Kagame imesema kuwa wanayo akiba ya chakula kulisha watu wake kwa miaka 2. Sasa hivi wanafanya utaratibu wa kuweka virutubisho lishe. Hii ni tahadhari kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Source:BBC
Serikali yetu tukufu ya CCM tunayo cha kujifunza kutoka kwa huyu jeuri Kagame

Hifadhi yetu ya chakula ya siku moja inaweza kuilisha Rwanda miaka 10 mfululizo.
 
Hili neno Ki mkoa huwa lakera saana. Kama ni Rwanda ni kimkoa hebu tuonesheni basi Mkoa wowote tanzania wao lingana na Rwanda kiuchumi na kimaendeleo mengine.

wewe chagua mkoa wowote Tanzania, halafu upatie misaada ya kiwango kile kile inayopewa Rwanda halafu tuone kama hatutalingana au kuwazidi. Watu wanaongea utadhani Rwanda inajiendesha yenyewe kwa fedha za kodi, Rwanda imetegemea misaada almost kwa bajeti nzima toka 94!
 
Back
Top Bottom