CCM wamwandaa Magufuli kwa midahalo!

CCM wamwandaa Magufuli kwa midahalo!

bato

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,960
Reaction score
3,475
Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.
 
kama alikacha kwenye mdaalo kwenye chama cha ccm wakati huo hata sasa hatumuitaji na wala chadema hawana sababu ya kufanya midahalo, kinachoitajika hapo ni kampeni mwanzo mwisho
 
Yaani, hamjui tu. Tangu Lowassa amehamia CHADEMA amekuwa na utimamu mkubwa wa Mwili na Akili. Subirini huo mdahalo uitwe ndio utamjua yeye ni nani. Na huyo mkariri takwimu najua atatisha lakini bado hana lolote.
 
Kwa jinsi ninavyomjua Magufuli, Lowassa atakua nawakati mgumu sana kushindana naye kwenye midahalo. Naamini UKAWA wanalijua hili na watafanya kila hila kulizuia kutokea.

Lowassa ni kamanda kwa jina lakinj hayupo fit mentally and physically.

Midahalo ni lazima.Hatutakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Lazima tuwapime wagombea Urais wetu.Wanaomba nafasi kubwa na nyeti kuliko zote katika nchi.Go Tido go katika kutuandalia midahalo
 
  • Thanks
Reactions: nao
Midahalo inasaidia vipi watu wa vijijini?,,ukawa hatuna shaka na lowasa maana akiwa bize na kampeni basi atawakilishwa maana haiko kwenye katiba hiyo
 
Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.

Kwani lazima washiriki? Wakiamua kukataa kama CCM ilivyokataa je? Mbinu zote zimeshajulikana wape taarifa hao CCM: Wanaandaa wauliza maswali na mdahalo unaandaliwa chini ya usimamizi wa CCM na maajenti wao
 
Too late sasa midahalo tu mpaka aandaliwe je urais wa nchi itakuaje??

Si alikuwa mwalimu tunaambiwa ina maana kujieleza na kujibu maswali hajui??
 
mdaharo nikumpa kura magufur za waz ni vema ukawa wakatae mapema
 
Midahalo ni lazima.Hatutakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Lazima tuwapime wagombea Urais wetu.Wanaomba nafasi kubwa na nyeti kuliko zote katika nchi.Go Tido go katika kutuandalia midahalo

kwenye campaign wanaenda kufanya nini sasa kama nyie pumba mnazichambulia kwenye midahalo tu?
 
Mwaka huu tido yuko huru pale Azam tv mdahalo ni lazima
 
UKAWA hawawezi thubutu shiriki mdahalo. Mgombea wao mchafu, amepitishwa kidekteta,anaumwa,ana jazba, anawaogopa waandishi wa habari.
 
Hii ni CCM nyingine. Safari hii wamebanwa kila kona,hasa baada ya Edo kwenda nyumba ya jirani. Kati ya mikakati yao kushinda uchaguzi wa Rais ni kumpiga msasa mgombea wao kwa midahalo ya wazi. J.K alizuiwa kushiriki mdahalo wowote kwa awamu zote mbili. Mr. Ben Mkapa ndiye mgombea pekee wa CCM aliyeshiriki mdahalo wa kupambanishwa na wenzake 1995, na alifanya vizuri Sana. Mwalimu Magufuli anapewa tuition kwenye maeneo mbalimbali,hasa masuala ya kimataifa,pia utimamu wa mwili.
UKAWA wamemwandaaje mgombea wao kwenye mpambano huo.

Kwa jinsi ninavyomjua Magufuli, Lowassa atakua nawakati mgumu sana kushindana naye kwenye midahalo. Naamini UKAWA wanalijua hili na watafanya kila hila kulizuia kutokea.

Lowassa ni kamanda kwa jina lakinj hayupo fit mentally and physically.
 
Akija magufuli kwenye Mdahalo Atasema maneno yafuatayo "NITAKUWA MTUMISHI WENU" "SITAWAANGUSHA"
 
Back
Top Bottom