Msaada kufuatilia simu

Msaada kufuatilia simu

bato

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,959
Reaction score
3,476
JF ni kisima cha elimu. Nimewasikia watu wakiongea kuwa kuna kifaa kinafungwa kwenye simu,kinaweza kukupatia taarifa kuhusu simu zinazopigwa,SMS zinazoingia na kutumwa kwa hiyo simu nk. Ni ya kweli hayo? Kama ndiyo,inapatikana wapi,bei yake,matumizi pia. Mwenye hiyo ilmu,miminika.
 
Last edited by a moderator:

Kama unae muekea hajui kingereza basi nenda G Playstore muwekee "sms and call tracker"
 
Back
Top Bottom