Search results

  1. C

    Import

    Naomba msaada wadau. Nahitaji kusafiri na Laptop computers tano,nikitokea New york kuja Tanzania. Laptops ni kwa matumizi ya ofisi (NGO) inayofanya kazi zake jijini Mwanza. Naomba kujua kama naweza tu kusafiri nazo kwenye bag,na kama kuna import permit yoyote inatakiwa, Mambo ya kodi, ama...
  2. C

    VAT on donation in Tanzania

    Hi Team Does any one know whether there are any new changes/directives from TRA about VAT for Donations? I have just imported a container with donated items from abroad, and it is stuck in Dar port pending VAT Clearance. My last container was not charged VAT because they were donations. Is any...
  3. C

    Expatriate Taxes in Tz

    Can anybody advise if expatriates are required to pay taxes in Tanzania. I have no idea about this...
  4. C

    Nahitaji vifungashio vya vimiminika

    Wadau nahitaji vifungashio vya vimiminika(chupa za plastic) za kwamfano maji,juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
  5. C

    Nahitaji vifungashio vya vimiminika

    Wadau, Nahitaji vifungashio vya vimiminika (chupa za plastic) za kwamfano maji, juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
  6. C

    Wapi nyumba ya kuipanga- Manyanya, Studio, biafra.

    Vyumba 2 na sebule
  7. C

    Amueni mtakavyoamua bungeni, tutawasubiri kwenye maoni

    Si kuna hatua ya mwisho ambayo wananchi tutaamua? Sawa, hivi sasa mko kiwanja chenu cha nyumbani, mtakuja tu kwetu wananchi, tutawaonyesha ni nini chenye tunataka. Huku hatulali, siku 90 mnazozitumia huko kwa hila, sisi tutazitumia kuwafikia wananchi
  8. C

    Hii fine ya Uchakavu wa seat cover ni Halali kweli? Au jamaa kaonewa.(see attachment)

    Jamaa yangu kapigwa fine hii jamani, hivi uchakavu wa seat cover nao ni kosa la barabarani kweli? Trafic police huyu mie kama sijamwelewa hivi.Tujuzane tu ili na wengine tutie maji, coz mwenzetu ndo kesha nyolewa hivyo. Na jamaa alopigwa fine hii ni Mzungu
  9. C

    Wireless internet specifications

    Ofisi ni mpya tunataka kupata ISP atuwekee internet, ila nahitaji nipate specifications za kitaalam ambazo nitaziaddress kwa ISP, kwa anayeweza kuniandikia specifications za kitaalam kwa kupata internet inayoweza kutumiwa vizuri na 8 -10 users, tafadhali msaada
  10. C

    Nahitaji kusafirisha Mizigo Moro - Dom/Mza

    Nina mizigo michache hapa Morogoro, nahitaji iende Dodoma na Mwanza. Kwa kuwa mzigo si mkubwa, sjaona vyema kukodi gari zima. Nahitaji gari la mizigo linalotoka Dar au hapa Moro, kwenda Dom au Mwanza lichukue mzigo huu. Najua kuna magari ya mizigo yanajaziaga mizigo njiani yanapokwenda Mwanza...
  11. C

    Haya mambo jamani bado yapo Karne hii!!!

    Hii ni Memo aliyoandikwa na Mtendaji wa kijiji cha Nzasa mkoani Dom, akitii maagizo ya RC Mkoa.Hii ipo kweli kisheria? kama ni hivyo mbona sheria hii ina-apply vijijini tu, hasa wafugaji.Hii ni ya Mwezi huuhuu.
  12. C

    Nahitaji Suppliers - Mwanza

    Nahitaji suppliers wanaoweza ku-supply bidhaa zifuatazo ofisi moja hapa Mwanza, kwa lengo la kuingia nao Mkataba - Office Stationary - Fuel( kwa Card) - Electrisity(LUKU) - Office Consumables - Office furnitures - A/C Repair - Taxi services - Mineral Water - Garage Mwenye interest ya kutoa...
  13. C

    Natafuta Nyumba ya kupanga Mwanza

    Iwe yenye uzio, chumba na sebule self, mitaa ya Isamilo, kona ya Bwiru au Ghana hata Mjini kati. Budget 150,000 kwa mwezi. Inaweza kua ya ku-share pia, say upande mmoja
  14. C

    Vitabu Q&A vya NBAA na vile vya Rashidi

    Wapi Dar hii nitapata vitabu hivi jamani, pale NBAA hawana vya kutosha
  15. C

    Vipande vya fedha 30 vilimsaliti Yesu.

    Bilioni za shilingi niambieni ni wangapi wangekataa. Kama nchi hii leo kila raia anatafuta kujiweka sawa kwa nafasi yoyote sijui ni kwanini watu wanaotaka mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa nchi hii wanaamua kukataa ukweli mchungu kuwa jemedari wao kati ya mitume 12 amekubali vipande vya fedha...
  16. C

    Accounting & Tax software needed

    Nahitaji accounting software, business software mbalimbali na Tax software hasa ya VAT Tanzania. Kwa mwenye kujua wapi nitapata na bei zake asaidie. Eg; Sun system, tally, MYOB,Quick books,Accpac,Lawson etc
  17. C

    Nahitaji single room,self contained ya kisasa

    Maeneo ya Kinondoni Namanga, msasani, manyanya, studio, shamba, room iwe ktk nyumba yeny uzio, gate.
  18. C

    Mashine ya Backery

    Nahitaji set ya mashine za barkery, wapi naweza pata nzuri za kisasa hapa Dar.Wadau karibuni
  19. C

    Naomba kuelimishwa jinsi ya kupata leseni, na taratibu za umiliki wa Driving School wapendwa

    Kichwa cha habari chahusika, naomba msaada wenu waungwana
Back
Top Bottom