CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Naomba msaada wadau.
Nahitaji kusafiri na Laptop computers tano,nikitokea New york kuja Tanzania. Laptops ni kwa matumizi ya ofisi (NGO) inayofanya kazi zake jijini Mwanza.
Naomba kujua kama naweza tu kusafiri nazo kwenye bag,na kama kuna import permit yoyote inatakiwa, Mambo ya kodi, ama documents zozote ili niweze kuruhusiwa kuingia nazo Dar es salaam airport bila vikwazo