Mashine ya Backery

Mashine ya Backery

CHRISTURKER

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
267
Reaction score
55
Nahitaji set ya mashine za barkery, wapi naweza pata nzuri za kisasa hapa Dar.Wadau karibuni
 
Kuna mdau wangu m1 alikua anaagiza toka china anaziuza kwa 7m
Ngoja nimtafute nikurushie namba yake uimbe nae nyimbo za Ndala Kasheba
 
Back
Top Bottom