CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Nina mizigo michache hapa Morogoro, nahitaji iende Dodoma na Mwanza. Kwa kuwa mzigo si mkubwa, sjaona vyema kukodi gari zima. Nahitaji gari la mizigo linalotoka Dar au hapa Moro, kwenda Dom au Mwanza lichukue mzigo huu. Najua kuna magari ya mizigo yanajaziaga mizigo njiani yanapokwenda Mwanza. Nipigie 0765829257 in case