Nahitaji vifungashio vya vimiminika

Nahitaji vifungashio vya vimiminika

CHRISTURKER

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
267
Reaction score
55
Wadau,

Nahitaji vifungashio vya vimiminika (chupa za plastic) za kwamfano maji, juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
 
Upo mkoa gani?
Wacheki TECETRA 0784082847
 
Wadau nahitaji vifungashio vya vimiminika(chupa za plastic) za kwamfano maji,juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau
vimiminika vya nini mzee, kuna vimiminika vya aina nyingi.
 
Back
Top Bottom