Search results

  1. M

    Shemeji amembaka msichana wangu wa kazi

    Ilikuwa jana tulikuwa tumeenda kazini wote amebaki yeye mwanangu mdogo kama mwaka hivi.According to huyo msichana mtoto alikuwa amelala akamaliza kitandani kwake na yeye akaenda chumbani kwake kulala kuhamaki unashangaa mtu yuko juu yake alijaribu kupiga kelele ila alimziba mdomo akamzidi nguvu...
  2. M

    Natafuta nyumba ya kupanga

    iwe maeneo ya Mwenge au survey,kijitonyama,kinondoni ,laki tatu na nusu ,three bedroom,parking na maji yawepo.
  3. M

    Mayai ya kuku wa kienyeji

    Jamani naomba kujulishwa wapi nitapata mayai ya kuku wa kienyeji na bei yake ikoje?niko dar Asanteni
  4. M

    Satelite dish Vs antenna

    Jamani naomba kujuzwa nimenunua kigamuzi cha star timez afu nina dish kwangu naweza kuunganidha kwa dish badala ya antena?
  5. M

    Toyota starlet for sale

    Toyota starlet for sale6m, Number CNG,mileage45000km,insurance compehensive.color dark blue
  6. M

    Please help my hp laptop screen turns black

    laptop yangu ya hp inawaka ila screen yake baada yq muda inakuwa black ila iko still on sijui tatizo mwenye ujuzi please
  7. M

    Msaada hp laptop screen turning black after switching on

    Jamani naomba mnisaidie laptop yangu screen yake inakuwa black nikiiwasha ila ina waka ila huoni kitu nifanyeje?
  8. M

    Nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba kupanga maeneo ya changombe temeke rooms tatu ..moja iwe self kitchen na parking space iwe na fance..maji yawepo Budget yangu 350000 kwa mwezi
  9. M

    Natafuta modem unlocked

    Nina shida na modem inayotumia any simcard mwenye nayo au anayejua zinapopatikana.Niko Dar Asanteni.
  10. M

    Natafuta modem unloked

    Nina shida na modem ambayo iko unlocked ambayo naweza kutumia any simcard kwa aliye nayo au maelekezo ya sehemu ninapoweza kuipata Mimi niko Dar es salaam Asanteni.
  11. M

    Nina mimba ya Miezi 9 natakiwa kusafiri kwenda ukweni

    Habari Wana JF Mimi Nina mimba ya Miezi 9 nimebakisha week mbili nijifungue ila mume wangu analazimishia niende nikajifungulie huko kwao kanda ya ziwa, I thought of flying ila flights haziruhusu mtu wa type yangu kupanda ndege,so anasema tutaenda na gari taratibu hadi tufike even if it take us...
  12. M

    Nisaidieni jamani

    Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine, The problem is I can't forget my ex boyfriend haipiti siku sijamkumbuka,I always dream of him,,hatuna mawasiliano na wala siyataki,I jus...
  13. M

    natafuta shule ya 0 level

    natafuta shule ya private ya o level kwa ajili ya my niece nataka. shule ya bei rahisi as sina kipato kikubwa,iwe laki 6-8 kwa mwaka,kila shule ninayoulizia ni kuanzia milion na zaidi,shule za boarding.
  14. M

    Laptop yangu inapoteza mwanga

    Nina HP laptop ila inanisumbua for long time now,nikiiwasha muda mwingine haidisplay screen inakuwa nyeusi tu ila unasikia imeshawaka au Kama umawatch kitu inakuwa blank afu sauti inaendelea kusikika msaada jamani nifanyeje,au nipeleke. wapi?
  15. M

    Napatwa na msongo wa mawazo

    mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa mwaka huu ,I'm pregnant nategemea kujifungua mwezi wa 12, Tatizo langu ni huyu mume wangu its like he's irresponsible,kila kitu kwake anaona hakina maana wakati wa uchumba hata sofa alikuwa Hana mimi ndie. nilimshikia bango hadi akanunua,alikuwa...
  16. M

    hi all

    hi hope mko poa,I'm new here,I love u all
Back
Top Bottom