Napatwa na msongo wa mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napatwa na msongo wa mawazo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mshewa2, Oct 30, 2012.

 1. m

  mshewa2 Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa mwaka huu ,I'm pregnant nategemea kujifungua mwezi wa 12,
  Tatizo langu ni huyu mume wangu its like he's irresponsible,kila kitu kwake anaona hakina maana wakati wa uchumba hata sofa alikuwa Hana mimi ndie. nilimshikia bango hadi akanunua,alikuwa anaendesha swift akabadilisha
  he's 33 years old anafanya kazi bank kwenye manager position for so many years now ila hata kakiwanja Hana,nimegundua ana deni kubwa kazini nikimuuliza alichukua mkopo wa nini haniambii,hela mwisho wa mwezi inaishia kwenye madeni mimi nabaki kuwa provider of the house for the wholy month,
  mwezi uliopita gari yake wamechukua wadeni wake
  Maisha yangu yamechange so abruptly,I was beta off before marriage,I can't even do shopping yangu the way I used to ,kazini inabidi nimpeleke na gari yangu asubuhi na jioni nimpitie,
   
 2. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Hapo kuna tatizo though maisha ni kusaidiana-ila kama hata ww soulmate wake hakwambii kaufanyia nin mshara au hata deni ni kiasi co nzur smother day wanaweza kuchukua kitu kikubwa zaidi ya gar
   
 3. T

  Tetra JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dadangu,,nakushauri kabla ya kuchukua uamuzi wowote endelea kuvuta muda UMJUE VEMA maana mtu kuwa alivyo kuna sababu,,hasa ktk jambo ambalo anajua wajibu wake..Isiwe unapimwa uvumilivu.
  Muda Muda Muda ni silaha kama silaha nyingine
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  We ni Mkenya eeh?

  Yaonyesha awali ulimpenda kwa fedha zake.

  Mfanyie counseling, atabadilika.
  At the age of 33 he is still very bumpy!...but in just 5yrs ataanza kuwaza.
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmh!.....
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Usikate tamaa kabisa dada yangu, wanaume wengi huwa wanarekebishwa na wake zao,kuwa mtulivu usijeathiri kiumbe tumboni.Jaribu kushauriana na mmeo juu ya maisha yenu kwa upole sana, usiwe mkali hata kidogo.Kutumia gari yako kumpeleka kazini na kumpitia wala usione kama ni adhabu, ni hatua tu.La mwisho lakini la muhimu sana ni kumshirikisha Mungu katika mambo yako.Kila la kheri.
   
 7. m

  mshewa2 Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  No mimi Sio mkenya,ni mtanzania
  Sio kwamba nilimpenda kwa sababu ya pesa no,basi tu sioni Kama tutakuja endelea,
  5yearz to come umri unaenda haumsubiri mtu,
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  duh! bidada naomba awali ya yote unijibu maswali yangu haya kabla sijakushauri,
  1) wakati wa urafiki ulijipa muda wa kutosha kumfaham mwenzi wako kabla ya uchumba?
  2) mahusiano yenu yalidumu kwa muda gani hadi kufikia uchumba na ndoa?
  3) mlikuwa na ukaribu ama yalikuwa ni mapenzi ya mbali?
  4) je wakati wa uchumba uliona dalili yyte ya mumeo kuwa msiri ama hukuona?
  5) unawafaham rafiki wa karibu wa mumeo? kama ndio ni watu wa aina gani?
  6) unaonaje ushiriki wa muameo kwenye majukumu ya familia kama kwa baba yake na mama yake?
  7) mumeo ni mlevi? mtu wa kujairusha? mtu wa ofa?
  8) je yeye anaoanekana kuumia ama kuridhika na hali iliyoko?
  9) zaid ya hili tatizo je wewe unahisi mumeo ana siri nyingine mbaya moyon mwake)
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  If you are going through hell dont stop just keep on going.
   
 10. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,372
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  unaweza ukakuta hata mideni mingine ulimuingiza wewe,kuwa karibu na marafiki zake utajua how he spend his money halafu utajua ni wapi pa kuanzia kumsaidia,
   
 11. m

  mshewa2 Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  tulikuwa kwenye relation for 1 year and I got pregnant so we decided to get married though haikuwa Kwenye plan ya muda mfupi,
  2)thanks God hanywi pombe wala Sio mtu wa ofa
  3)Alikuwa anataka sana ndoa hata nilipopata mimba alifurahi Sana coz alijua ameshanikamata
  4)sidhani Kama ana siri nadhani ni hayo mambo ya finacial may be anaona akiniambia ntamdharau
   
 12. kbm

  kbm JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4,963
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pole sana dada yangu. Maisha ya ndoa kawaidi siyo rahisi kama watu wengi wanavyoyachukulia kabla ya kuona. Ndoa ni mtihani, ukicheza utashindwa. Kumbuka wewe ndiye KATIBU wamaisha yenu ya ndoa, wewe ndiye muhimili wa familia. Kwanza unatakiwa kuwa mpole, mvumilivu bila kukata tamaa, kuwa karibu sana na mmeo, ongeanaye kwa upendo na kushirikishiana mipango ya familia, yawezeka naye ana stress zaidi yako, kama unavyosema kuwa ana madeni makubwa, yawezekana pesa ilitumika bila mpangilio, saidianeni kutatua swala hilo, pia muwe na family plans za muda mfupi na muda mrefu, mambo yatakwenda sawa. Mshirikishe Mungu katika mipango yenu, matatizo na raha. Mtashinda.
   
 13. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  Overthinking is a real detriment to focus and must be stamped out. Forming positive habits and reinforcing them over time will make a big difference in your propensity to overthink,
   
 14. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,444
  Likes Received: 9,092
  Trophy Points: 280
  Pole sana! Nakuhurumia sana!
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  mpendwa mumeo ni selfish halafu pia ni mtu asiyetaka kuharibu status yake japo kuwa ni mtu asiyejua kupritise hasa kwenye mambo ya msingi ya maisha. tabia hzi ni ngumu sana kwan ztakufanya wewe mama kila siku uwe unabeba mzigo mzito wa majukum ya kifamilia.

  usiangalie kwamba siku hizi haushop kwenye maduka makubwa unashop manzese kama akinasie, wala hununui vyakula super market bali ni mabibo kama wengine. hayo ni maisha ingawa you can help yourself to get out of that, simply by working hard na ku maxmize income yeko.

  swala la kuongea na mumeo juu ya hali halisi ni la muhmu sana na mueleze in black and white usimfiche kwa aibu ama kwa woga.mwambie ukweli na pia mkazanie hadi aseme alikopea nn hizo hela zote. ni ngumu na itachukua muda kusema but usikae kimya lazimisha ili ujue.

  pia mwombe sana Mungu, ndoa yako bado ni changa sanae,inahitaj hekima za hali ya juu na usimamizi wa mungu,ili uweze kushinda majaribu ya ndoa. pole sana.
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kha!! unajua vijana wanaingia kwenye madeni maana unakuta bila mkwanja hupati K jamani!!! mara mkopo wa gari ili tuu aweze pata totoz mjini maana bila gari mwana totoz wanakuona huna kitu...nani akapande dala wakati kufuli hawavai lol.
  sasa bii dada wewe hii ndio ilishakula kwako na hivyo kubaliana na hilo jambo. la msingi hapa nikuomba jamaa awe open abt his financial situation...ila kuwa tayari kusoma negative numbers hapo. baada ya hapo wewe itabidi uwe minster of finance hapo nyumbani maana jamaa inaelekea pamoja na kuwa bank manager somo la pesa lilipita kushoto. patience is needed hapa.

  dada zetu jamani tunaomba mpunguze tamaa maana vijana wanajiweka kwenye madeni ili kuwapata magoma.
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  ila bibie si ulikubali kuwa naye kwa raha na shida...kubaliana na kila hali tu kwani ulifikiri akishakuona ndio utakaa as if umeingia kwenye ufalme wa mungu ni mwendo wa kuimba na kucheza???
   
 18. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nimependa maswali yako gfsomwin hebu tusubiri jibu maana hata mimi yamenivutia!!!
   
 19. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Pole sana dadangu!
  kama ulivyopata ushauri kwa wadau wengine nami naongezea kidogo tu. inawezekana kuna kitu kimemtokea mumeo na sasa hivi yupo kwenye hali ngumu na anahitaji msaada wako pia wa kumfariji
  1. Inawezekana kulitokea shoti katika sehemu yake ya kazi na wakatakiwa warudishe hela, au/na
  2. Alichukua mkopo mkubwa kwa lengo zuri lakini ikatokea akatapeliwa na watu au shirika na sasa amebaki anarudisha
  deni la maumivu!
  Kama yote haya siyo jaribu kumvhunguza tabia zake kama kuna uwezekano wa kuwa na dem pembeni
   
 20. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Bi dada gfsonwin maswali yote hayo ya nini, we si umweleze tu kwamba mumewe anacheza KAMARI,za kwenye MA CASINO!
  Siku hizi vijana wengi wameibukia kwenye kamari na huo ni ulevi mbaya kuliko hata Bangi za akina Arushaone LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...