Please help my hp laptop screen turns black

Please help my hp laptop screen turns black

mshewa2

Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
77
Reaction score
12
laptop yangu ya hp inawaka ila screen yake baada yq muda inakuwa black ila iko still on sijui tatizo mwenye ujuzi please
 
ni aina gani ya hp, model? Najua hp pavillion zinakuwa na hilo tatizo sana. Kila kitu na suluhisho lake.
 
Mkuu bila kujali aina ya laptop, hapo kuna tatizo kwenye inverter anandaa kama 50k
 
Tatizo la hiyo laptop wala sio inverter, nina uzoefu nazo, itakuwa ni nvidia card yake, suluhisho rahisi tu, na ni bure ukijuwa la kufanya, hebu nijulishe ni model gani nikufahamishe ufanye nini, usiingie gharama za bure na kupata laptop haifanyii kabsaaa. Asante.
 
Solution hi hii, mimi nilikuwa na same problem, with hp dv6000 mpaka nikaagiza screen nyingine kumbe issue ilikuwa ndogo tu. Thermal paste yenye kushikilia the nvidia card itakuwa lose. Nilifuatilia sana online maana hata baada ya kubadilisha screen shida iko pale pale.
Cha kufanya, chukua laptop hiyo, weka on, open screen, funika laptop yote na blanket, alafu wacha iwe on kama kwa nusu saa hivi. Itapata joto sana wakati umeiwasha na kuifunika na wakati huu ndio ile thermal paste inakuwa reheated na kushika vizuri. Kitu muhimu sana tu ni usisahau kuondoa battery ya laptop kabla kufunika laptop, tumia ac adapter kuwasha laptop na wakati wote iko on. Nauhakika itafanya kazi. Vinginevyo ukiona sijui nachosema, tafadhali endelea kutafuta suluhisho kwa mafundi wale pesa yako. Laptop yako haijasumbua tena na niko na extra screen imekaa tu.
 
Back
Top Bottom