Msaada hp laptop screen turning black after switching on

Msaada hp laptop screen turning black after switching on

mshewa2

Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
77
Reaction score
12
Jamani naomba mnisaidie laptop yangu screen yake inakuwa black nikiiwasha ila ina waka ila huoni kitu nifanyeje?
 
Probably operating system yake inaweza kuwa collapsed!Ushauri wangu,ibadili hiyo o.s.I had the same problem and i fixed it that way
 
Jamani naomba mnisaidie laptop yangu screen yake inakuwa black nikiiwasha ila ina waka ila huoni kitu nifanyeje?


Inawezekana ikawa ni setting ya mwanga tu na sio tatizo, jaribu hii:

1. Tafuta button imeandikwa " fn " itakuwa imeandikwa kwa rangi tofauti na button nyingine,

2. Tafuta button nyingine yenye kuashiria mwanga itakuwa imechorwa kama chata ya jua hivi, mara nyingi inakuwa kwenye zile button za kuscroll zenye mishale ya juu chini, kulia, kushoto.

3. Bonyeza ile fn usiachie, halafu wakati huo huo bonyeza bonyeza hizi button zenye chata ya jua.
 
Jamani naomba mnisaidie laptop yangu screen yake inakuwa black nikiiwasha ila ina waka ila huoni kitu nifanyeje?


kama bado hujapata suluhisho check me out @ 0659-995445,0783-722831,0757032976.
 
Back
Top Bottom