Natafuta nyumba kupanga maeneo ya changombe temeke rooms tatu ..moja iwe self kitchen na parking space iwe na fance..maji yawepo Budget yangu 350000 kwa mwezi