Tazama VGA, lakini ninachokushauri ni kumtafuta fundi mzuriNina HP laptop ila inanisumbua for long time now,nikiiwasha muda mwingine haidisplay screen inakuwa nyeusi tu ila unasikia imeshawaka au Kama umawatch kitu inakuwa blank afu sauti inaendelea kusikika msaada jamani nifanyeje,au nipeleke. wapi?
Tazama VGA, lakini ninachokushauri ni kumtafuta fundi mzuri
0774853055where do I get that fundi?