Search results

  1. SuperImpressor

    Hapa Ukienda Kichwakichwa Lazima Upigwe Tu

    TZS 220,489.37 50%OFF | 7.3 inch HAUWEI P50 PRO Smartphone 5G 16GB+1TB 6800mAh 64MP Camera Unlocked Mobile Phones Telefon Celulares Cellphones https://a.aliexpress.com/_mLCLzeW
  2. SuperImpressor

    Wakuu vipi kuhusu hizi simu za Santin

    Katika pitapita zangu kule kijijini kwetu AliExpress nikaona simu za aina tajwa hapo juu, je kuna yeyote anayejua uhalisia wa hiyo simu maana naona specs zake si mbaya kwa watumiaji wa vipato vya kawaida. Sent from my cupboard using mug
  3. SuperImpressor

    Nini faida na hasara ya kujenga kipindi cha mvua?

    Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani. Sasa swali langu ni kama hivyo linavyosomeka hapo juu. Ila mimi binafsi napenda sana ujenzi wa nyumba ufanyike wakati wa kipindi cha mvua...
  4. SuperImpressor

    Kwa Wale Wajuzi Wa Cement Bora

    Naamini mafundi wazoefu watakuwa wanajua. Naomba kujua, Cement ya Bamburi ya kule Kenya inaweza kulinganishwa na cement gani ya hapa Tanzania kwa viwango vya ubora?
  5. SuperImpressor

    Utakapokuwa Umejenga Nyumba yako usisahau hili

    Biblia nayo haikubaki nyuma kutoa ushauri kwa wanaotaka kujenga nyumba mpya. Kumbukumbu la Torati 22:8 [8]Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kando-kando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko. Sent from my cupboard using mug
  6. SuperImpressor

    Msaada Kurekebisha Alama za Beacon Kwenye Uwanja

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wapimaji wa viwanja walipita mahali fulani wakafanya upimaji kwa kuelekezwa na mtu mwingine kuhusu mipaka ya uwanja ilivyokaa, lakini walielekezwa kimakosa bila mmiliki wa uwanja kuwepo, na mmiliki alipofika huko kakuta ardhi yake imedokolewa, sasa naomba...
  7. SuperImpressor

    Hii sasa inazidi kuniweka tumbo moto kwenye laini yangu ya Chuo

    Hawa jamaa sijui watapunguza tena vifurushi vya chuo navyo mpaka wapi maana sasa wasiwasi umeniingia baada ya kupata hii meseji[emoji848][emoji848][emoji848][emoji24] Sent from my cupboard using mug
  8. SuperImpressor

    Ni huduma gani au ofa gani ya mitandao ya simu uliwahi kuifurahia?

    Mimi sitakaa nikasahau enzi zile za mabundi night ya Voda ambapo sh.200 ulikuwa unagonga unlimited internet kuanzia saa nne usiku hadi asubuhi. Tulienjoy sana wajanja night. Na baadaye ilipanda hadi sh.500. Na baada ya miaka kadhaa waliniambia niweke kiasi chochote cha fedha kwenye akaunti...
  9. SuperImpressor

    Nimekutana Na Hii Kitu Wakuu, Hivi Ni Kweli Au?

    Hii simu ina ubora kweli au ni mafeki ya kichina? TZS 1,377,195.78 34%OFF | Global Rom OnePlus 8T 12GB 256GB Snapdragon 865 5G Smartphone 120Hz AMOLED Fluid Screen 64MP 65W Warp Charge https://a.aliexpress.com/_msRgrtN Sent from my cupboard using mug
  10. SuperImpressor

    Mtu Akikuuliza Una Miaka Mingapi Usikurupuke Kumtajia Idadi

    Siku moja kuna preacher mmoja alikuwa anatupatia vitu vitamu vitamu kama mnawavyojua hao jamaa hawakosagi vitu; Dah! Niliguswa pale aliposema; Mtu alikuuliza una miaka mingapi usimwambie miaka yako ila mwonyeshe mambo uliyoyafanya kwa miaka hiyo.[emoji848] Sent from my cupboard using mug
  11. SuperImpressor

    Simu ya LG V20, wazoefu piteni hapa

    Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung, Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon 850. Kwa bei ya sh. 204,084.10/= na shipping ya 12,198.67/= Toleo lake ni la 2016. Sasa sijui wajuzi...
  12. SuperImpressor

    Mafundi Computer Naomba Tusaidiane Kuhusu hili

    Nimepata msala kwa sababu ya kisimu kidogo tu cha vodafone na sasa nimekuwa kama mtu asiye na mikono. Nimetumia computer tofauti tofauti kwa muda sasa, lakini sijawahi ku-short USB Ports kama ilivyonitokea juzi wakati najaribu kuflash kisimu cha vodafone ambacho kilikuwa kimeshaharibiwa kwenye...
  13. SuperImpressor

    Wakuu hivi hii kitu kwenye one drive ni kweli?

    Nimeona hii Product key One Drive + Office 365 Pro Plus inauzwa kule AliExpress kwa bei ya 10,059.72 ya Tz ikiwa ni ya life time na nikaona kuna mbongo mmoja alicomment pale kuwa (it's ok) na link yake hii hapa chini TZS 10,059.72 13%OFF | OneDrive 5TB 5120 GB Storage and Office 365 Pro Plus...
  14. SuperImpressor

    Samsung J701f With Android 9 Pie

    Kama mnavyojua hii simu ambayo inatokana na Samsung J7 Series kipindi cha nyuma ikiwa na Android 6.0 hadi 7.0 ilikuwa ni rahisi kui-root kwa kutumia custom recovery kama TWRP lakini tokea updates zimekuja ama upgraded to android 9 pie, hii kitu imekuwa ngumu sana kui-root kwa sababu ya security...
  15. SuperImpressor

    Wakuu Leo Ni Black Friday. Naomba Mniboost

    Naombeni mniboost jamani kwa ku-Click kwenye hii link ili niweze kupata mpunga kule AliExpress. One click to get TZS 92,761.70 !#AliExpressbonus #BonusBuddies #AliExpressBlackFriday Your bonus is waiting to be activated. https://a.aliexpress.com/_mqYj7et Sent from my cupboard using mug
  16. SuperImpressor

    Nabaki Njia Panda Bado Sijafanya Maamuzi

    1. Hivi nikiwa na blog ya google na pale nitakapokuwa na tovuti yangu binafsi, ni wapi ambapo patanipatia zaidi hela kutokana na visitors watakaotembelea ukurasa wangu? 2. Naonaga wamiliki wa tovuti mbalimbali wanaweka link za downloads kwenye site zao na link hizo unakuta ziko nje ya site zao...
  17. SuperImpressor

    Tetesi: Hakuna Kuiendeleza M-Pesa MasterCard.

    Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi wa tisa kuisha, na majibu yalikuwa hivi, "your card has been un-suspended successfully" lakini...
  18. SuperImpressor

    Naomba kujua bei ya mini laptop used

    Jamani wanaJF naombeni mwenye kujua bei ya mini laptop used kwa Bongo au Mwanza aniambie. Isiwe ile ya internal memory na storage, bali nataka ambayo nawezafanya upgrade ya hard disk na rami. Sent from my cupboard using mug
  19. SuperImpressor

    Changamoto wanazokutana nazo mafundi simu na baadhi ya vifaa vya Kielektroniki

    Habari zenu wanaJF, Kama tunavyojua simu ni kifaa ambacho wakati mwingine marekebisho yake ni rahisi sana na wakati mwingine huwa vigumu sana kutatua matatizo yake ambapo humbidi sasa fundi atumie akili nyingi ama kuumiza kichwa sana wakati wa kutatua tatizo. Unarekebisha lakini mteja...
  20. SuperImpressor

    Kwa Watumiaji Wa Gordak SMD Hot Air Rework Station

    Ndugu mafundi wa Electronics naomba kujua ni matatizo gani hasa yanayozikabili hizi mashine za kampuni ya Gordak zinazotumika kwa ajili ya kazi mbalimbali katika kufanikisha baadhi ya kazi za kiufundi ili niweze kuchukua tahadhari mapema kwa kuwa mimi binafsi ninayo Gordak 952b na nimekuwa...
Back
Top Bottom