SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,504
- 646
1. Hivi nikiwa na blog ya google na pale nitakapokuwa na tovuti yangu binafsi, ni wapi ambapo patanipatia zaidi hela kutokana na visitors watakaotembelea ukurasa wangu?
2. Naonaga wamiliki wa tovuti mbalimbali wanaweka link za downloads kwenye site zao na link hizo unakuta ziko nje ya site zao kama vile mediafire, 4shared, Google drive, mega nk. Je huko ndiko wanakopata storage kubwa au wanachotafuta huko ni malipo kwa files zitakazodownlodiwa? Kwani huko kwenye website zao hawalipwi?
Sent from my cupboard using mug