SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Kama mnavyojua hii simu ambayo inatokana na Samsung J7 Series kipindi cha nyuma ikiwa na Android 6.0 hadi 7.0 ilikuwa ni rahisi kui-root kwa kutumia custom recovery kama TWRP lakini tokea updates zimekuja ama upgraded to android 9 pie, hii kitu imekuwa ngumu sana kui-root kwa sababu ya security patches za hiyo version. Ambapo kama ukiiwekea custom recovery wakati wa ku-boot inafanya verification check ikikuta kuna custom recovery hairuhusu simu kuendelea na process za kuboot.
Sasa swali ni je, kuna mtu aliyefanikiwa ku-root hiyo simu ikiwa na Android 9 Pie?
Na ni kwa procedures zipi alifanikiwa?
Kwenye network bar inaweka [emoji724][emoji724] badala ya [emoji687][emoji687] na ili niweze kuirepair hiyo mpaka niiwekee custom recovery.
Sent from my cupboard using mug