Wakuu Leo Ni Black Friday. Naomba Mniboost

Wakuu Leo Ni Black Friday. Naomba Mniboost

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Naombeni mniboost jamani kwa ku-Click kwenye hii link ili niweze kupata mpunga kule AliExpress.
One click to get TZS 92,761.70 !#AliExpressbonus #BonusBuddies #AliExpressBlackFriday
Your bonus is waiting to be activated.

Sent from my cupboard using mug
 
Tunaogopa maana wanatishaga wanavosema ukiitiwa fursa ujue wewe ndo fursa
Bado kidogo tu, ningepata new users kwa kujiunga na AliExpress kama wanne ningepata hako kampunga aisee.
IMG_20201127_194135.jpg
 
Mkuu black ni black tuu hata mfukoni tunawekaga black color ya kitambaa. Hawa jamaa wanaamana black friday ni siku ambazo salikuwa sanalipa wages kwa blacks. Daaah leo hii ndo wanatupatia discount can't wait so. Hii ni aibu black is ever proudless
 
Jana pia nimepokea meseji kutoka M-Pesa MasterCard ikiniambia kuhusu Black Friday kwamba nifanye manunuzi ili M-Pesa wanirudishie asilimia 20% ya fedha hiyo.
 
White friday ni lini?
Subiri tangazo labda watakuanzishia na wewe hiyo maana wachina wana vipindi vingivingi vya namna hiyo. Hata tarehe 11/11 huwa wana mambo mazuri kama hayo.

Ukiwa na mpunga wa kuanxia 100,000- na kuendelea huwa wana discount nzuri sana.

Sent from my cupboard using mug
 
Bado kidogo tu, ningepata new users kwa kujiunga na AliExpress kama wanne ningepata hako kampunga aisee.View attachment 1636128
unachobidi ufahamu ni kwamba hiyo pesa hawakupi bali iinatumika kama top up ukinunua kitu, na tena hata iwe ina jitosheleza kununua kitu huwezi kuitumia mpaka ununue kitu cha bei flani halafu watumie kiasi flani kutop up. Na ikikaa baada ya muda ina expire. Aliexpress siyo wajinga
 
Nj kwel black friday kwangu iliendan na promocode ya dollar 8 kwa item inayozidi dollar 80 so nilicheza nayo nikapata punguzo la kununua redmi 9c za gb 32 kwa shilingi 245,100 kila moja na hapo ni kwa kua nimetumia kadi ya voda yenye makato ya asilimia nne kwa kila ununuacho hope ingeshuka zaidi kam ningetumia kadi isio na makato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom