Simu ya LG V20, wazoefu piteni hapa

Simu ya LG V20, wazoefu piteni hapa

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung,

Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon 850.
Kwa bei ya sh. 204,084.10/= na shipping ya 12,198.67/=

Toleo lake ni la 2016.

Sasa sijui wajuzi mnasemaje kuhusu hii kitu. Nimeoagawishwa na storage yake.

Sent from my cupboard using mug
 
Kwanini usichukue LG G6. Ya 2017. Naona kma hii ni nzuri zaidi na inauzwa bei hyo hyo

Link: US $86.58 26% OFF|Schnelle Verschiffen Koreanische version Handy LG G6 G600 L/S/K 5.7

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Aisee hapa inabidi nifanye comparison ya kutosha maana hiyo LG V20 ina edition mbalimbali.

Kule AliExpress wamesema ni Snapdragon 850 na kule Gsm Arena ni snapdragon 820 na hiyo LG G6 ni snapdragon 821.

kwa hiyo hapo ni kuCompare kwa umakini sana, nashukuru kwa ushauri.

Sent from my cupboard using mug
 
Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung...
Samahani mkuu nikusahihishe kidogo hapo kwenye spec zake ni snapdragon 820 na sio 850 labda ilikuwa typing error. Kifupi ni simu nzuri sana kama sifa zake zinavyoonekana.

2020-12-28-23-25-50.jpg
2020-12-28-23-28-10.jpg
2020-12-28-23-28-25.jpg
2020-12-28-23-28-47.jpg
2020-12-28-23-29-08.jpg
 
Aisee hapa inabidi nifanye comparison ya kutosha maana hiyo LG V20 ina edition mbalimbali.

Kule AliExpress wamesema ni Snapdragon 850 na kule Gsm Arena ni snapdragon 820 na hiyo LG G6 ni snapdragon 821.

kwa hiyo hapo ni kuCompare kwa umakini sana, nashukuru kwa ushauri.

Sent from my cupboard using mug
Snapdragon 850 imetoka 2018 na inatumika kwenye laptops tu sio simu. Hyo simu ina 820

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung,

Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon 850.
Kwa bei ya sh. 204,084.10/= na shipping ya 12,198.67/=

Toleo lake ni la 2016.

Sasa sijui wajuzi mnasemaje kuhusu hii kitu. Nimeoagawishwa na storage yake.

Sent from my cupboard using mug
Kwa hio bei refurb ya s7 unapata kibongo bongo, pia zipo Sony, LG, na brand nyengine zenye SD 820 kwa chini ya laki 3. Not worth it kununua huko.

Na kama unajali battery life sd 835 ni muhimu kwenye hizi flagship. Na kama upo tayari kujilipua Malaysia/Singapore unapata bei rahisi zaidi kuliko Aliexpress.
 
Ila ukiweza chukua v30 ni nzuri zaidi kuna niliona used ya korea inauzwa 600k yenyewe ni v30 plus ina 256gb internal ram 6gb
 
Tatizo mkuu ni kwa sababu niko mbali na Dar, ningenunua hukuhuku.

Shida nyingine ni kwamba kule AliExpress ukiselect kununua mahali tofauti na China wanasema hawaship vitu kuja Tz. Kwa hiyo inabidi tununue tu huko.

Kwani huko Malaysia/Singapore kuna hatari ya kupotea kwa mzigo/hela au ulimaanisha nini uliposema kama niko tayari kujilipua?

Sent from my cupboard using mug
 
Ila ukiweza chukua v30 ni nzuri zaidi kuna niliona used ya korea inauzwa 600k yenyewe ni v30 plus ina 256gb internal ram 6gb
Hiyo ngoja kwanza nisije nikalaza njaa familia.

Kuna Xiaomi moja hivi niliona wanauza million 23 na kitu ina ram 12gb na Rom 512gb battery 4050mAh Snapdragon 855 plus.

Bei ya nyumba aisee.

Sent from my cupboard using mug
 
Kwa hio bei refurb ya s7 unapata kibongo bongo, pia zipo Sony, LG, na brand nyengine zenye SD 820 kwa chini ya laki 3. Not worth it kununua huko.

Na kama unajali battery life sd 835 ni muhimu kwenye hizi flagship. Na kama upo tayari kujilipua Malaysia/Singapore unapata bei rahisi zaidi kuliko Aliexpress.
Sorry chief, ni site gani hizo za Malaysia/Singapore?
 
Back
Top Bottom