Kwa Watumiaji Wa Gordak SMD Hot Air Rework Station

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,504
646
Ndugu mafundi wa Electronics naomba kujua ni matatizo gani hasa yanayozikabili hizi mashine za kampuni ya Gordak zinazotumika kwa ajili ya kazi mbalimbali katika kufanikisha baadhi ya kazi za kiufundi ili niweze kuchukua tahadhari mapema kwa kuwa mimi binafsi ninayo Gordak 952b na nimekuwa nikiona mafundi wakitumia mishumaa badala ya mashine kwa kuhofia eti zinakufa sana. Natarajia majibu kutoka kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hiyo mashine iko poa nishatumia zaidi ya mika miwili mpaka nimempa jamaa nae anapigia kazi hizi mashine zote watu wanalalamikia mikono ila sisi tunamtumizi mabaya ktk huo mkono kuna kuna hiter na kioo flani hiv sasa sisi hua tunapeda kuigonga hiyio mikono kioo kinaweza pasuka au hita ikakatika
 
Ahsante mkuu nazidi kuchota uzoefu. Hiyo mashine yangu kuna siku begi lilikatika mshikio likajipiga sakafuni na hiyo mashine ikanipiga kwenye dole gumba la mguuni aisee maumivu yalikuwa makali mpaka mashine nayo housing ikapinda lakini bado naitumia tu haina shida nailinda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mafundi wa Electronics naomba kujua ni matatizo gani hasa yanayozikabili hizi mashine za kampuni ya Gordak zinazotumika kwa ajili ya kazi mbalimbali katika kufanikisha baadhi ya kazi za kiufundi ili niweze kuchukua tahadhari mapema kwa kuwa mimi binafsi ninayo Gordak 952b na nimekuwa nikiona mafundi wakitumia mishumaa badala ya mashine kwa kuhofia eti zinakufa sana. Natarajia majibu kutoka kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa gordak ni mashine nzuri sana san sana ninayo tangu 2005 nlipo kuwa fund hadi sasa bado ipo ba inafanya kazi vyema kbs

ingawa kwa sasa siitumii kutokana na kuwa na majukumu mengine nimebadilisha heater mara moja tuuu
 
Back
Top Bottom