Search results

  1. W

    Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

    Mwangalie tundu lissu yupo anahojiwa EATV Stay for updates
  2. W

    email generator app

    Wakuu naomba mwenye app inayoweza ku generate active email kadri nitakavyo.
  3. W

    Ai Type keyboard wakithamini kiswahili

    Kati ya mambo yalikuwa yananiboa kwenye hizi keyboard za simu ilikuwa ni auto word corection na word prediction. Maana kimsingi me natumia sana kiswahili kuliko lugha ingine, so ilikuwa inaniletea muda mwingine naandika kitu kingiiine na sometime ata unaweza kutukana. Lakin kwa ai type...
  4. W

    MH Warioba kuunguruma kesho kuhusu umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi sana katika katiba mpya

    Eneo litakuwa Ubungo Plaza ( ukumbi wa crystal) Dsm leo 4 august 2014 kuanzia saa saba kamili mchana. MADA Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi sasa katika Mchakato wa kupata Katiba Mpya ITV na Radio One watakuwa live wakirusha matangazo haya...
  5. W

    Fanya Setting hizi kujua aliyekupigia Wakati umezima simu yako(Voda na Airtel tu)

    Wasalamu wakuu. Nitaeleza kwa picha zaidi wakuu. Nenda setting kwenye simu yako. Then ingia kwenye call setting Alaf nenda apo kwenye call fowarding Then utaingiza hizo namba(0754 125125)kwenye hiyo row alafu utabonyeza Enable. Hiyo namba inayoonekana apo ni kwaajili ya watumiaji wa...
  6. W

    Dk.Kitila na Dk. kigwangalah Ndani Ya SAUT Mada Mapinduzi ya pili Africa Je Tanzania Tumejiandaa?

    Wanajukwaaa leo mida hii(9.00) kutakuwa na mdahalo unaohusu mapinduzi ya pili Africa. Focus kubwa ikiwa ni namna gani Tanzania imejiandaa kufanya mapinduzi hayo a namna itakavyotumia rasilimali zake. Hasa rasimali sinazozungumziwa ikiwa n madini na gesi, Vitawezaje kutuletea hayo mapinduzi.
  7. W

    jamani kiss fm wako faya na ma sweet ragae

    Nawap updates tu kwamba tune hio radio uienjoy
  8. W

    Hawa wanaweza kuwa wanafaidi mapenzi

    Wasalamu Jamani hili gonjwa kila siku nataka dawa lakini hola. Nimekaa na kuwazua nikaona hawa wanawezakuwa wanafaidi huu ugonjwa(mapenzi) Ambao sio attention seeker, hawa wanaweza wakafaidi penzi maana wanafanya kilichopo ndani ya uwezo wao na si kuangalia wapenzi au mpenzi wake...
  9. W

    Nashindwa kuunganisha dots kuhusu VPN

    Updates =============================<<<===<<<<<<<<<<<<<<======================================= jaman nashndwa ku attach screenshot but net imo poa so akina tomaso nimewawakulisha vema anzen iko poa Salamu kwenu Hapa nilipo nina troidvpn amboya niliambiwa kwamba ni free 1gb kwa kila...
  10. W

    Kitu mnyika na mbowe

    Hawa jamaa hatari?!!
  11. W

    Et she/he not my type!!!!! ucweweseke tafta ulipokosea

    Ok Ok Ok !!!!! Nipo hapa kwasababu nakosea na kurekebishika, pia huwa naweza kuchambua na kujua udhaif wangu hii hunisaidia kukubliana na changamoto fulan katka maisha!! Ok bak to topic ma friend! Kwenye mapenz kumekuwa kunatokea mikwaruzan baina yetu hvyo kupelekea mpaka kuachana...
  12. W

    New Tecno L3 review spec, similarities and differances with tecno p3

    Kwa wapenz wa tecn jamaa wametoa modernization ya tecno p3, na kuamua kuja na L series. Simu hii ambayo imetoka mwishon mwa mwez wa saba(july 24), imekuja na vitu kadhaa ambavyo vinaitofautisha na p3. Kwanza sim hi inakuja na Android OS 4.1.1(Jellbean), pia simu inakuja na internal memory...
  13. W

    Kwa anayetak full key ya document to go

    Kwa watumiaji wa smartfne (android OS), kuna app moja inaitwa document to go hii app kazi yake ni kuweza ku type document katka mfumo wa MS WORD, MS EXCELL na MS POWERPOINT. Kwa maana kwamb kupitia app h unaweza fanya typing kupitia cm yako,na ukaenda ku print kwa size utakayo,japo utatakiwa...
  14. W

    Embu cheki na hii Xolo smartphne me nimeipenda

    Karibia kila siku hawa wa teknologia hasa bara la asia wanakua na mambo mapiya na yenye ubunifu kukabiliana na makampuni makubwa ya simu duniani. Katka pitapita zangu nimeziona hizi simu za Xolo, kiukwel nimezipenda, lakin kwa sasa bdo zpo india na sijajua watengenezaji wake n wahindi au n...
  15. W

    Kazana mizinga, utapata maendleo katka familia yenu... ukipenda vdogo hata workhard huyo!!!!

    Habr za uck wapendwa wangu,upande wangu me mzma wa afya njema kabsa!!!!!! Imekuwa kama kautamadun vidume kuogopa kuombwa pesa na wapenz wao! me nashindwa kuelewa mantiki yako!! kwa mfano naomb niwafkirishe kidogo wenzangu, UNGEKUWA WEWE N MWANAMKE UKAPEWA UCHAGUE KATIK YA MAPENZI PEKE YAKE na...
  16. W

    Brand new track Rama dee ft. Anaconda( lady jayd)

    Kwa upand wangu namkubl xana rama, kwa h ngoma wametisha sana tu my side Chukua hapo chini. Rama_dee_ft_lady jayd_kama_huwez
  17. W

    kwanini kila mtu anajifanya ndo yeye kwenye mapenz

    Habri zenu wapendwa! kama mpo ok, glory to god na wale spana mkononi poleni sana! Nataka kusema jamb hapa ndugu zangu hv kwanin kila mtu au jinsia fulan imekuwa ikijiona sana kwenye suala la mpenz? Hapa unakuta kuna majigamb mara hv mara vile kwan lazma? kama hutaki c bora useme ueleweke so...
  18. W

    Msaada wa namya ya kufanya Online upgrade ya simu

    katika pita pita yang kweny simu yangu nimekuwa nikuta h kitu bt nashindwa namna ya kufanya hyo onlneupgrade. Nikichagua kweny hyo online upg, nakutana na vfuata -firmwire upgrde -system software upg -system seting upgrad Sa nauliza hz kaz yake ni ipi?, na kama ikiwa kaz yake n...
  19. W

    Ahadi zinazotekelezwa/kutekelezeka huweza kuchachua penzi

    Ndugu wana JF habr za jioni natumai mko poa na kwa wale ambao mungu hajawajalia afya basi ni kwa utukufu wake. Kama mada inavyoonekana hapo juu suala la ahadi znazotekelezeka n chachu kubwa kuendleza mapenz. faida za ahadi zinazotekelezwa Ahad inapotekelezwa hukuza imani sana, kwa ndugu...
  20. W

    Nafukuzwa mie maana laptop haitaki waka na nina kaz za watu,plz msaada wenu

    Jaman nilikuwa na type kaz hv,sa nikawa nimeondka nikazma pc,kurudi nilpowasha nakutana na maneno ya fuatayo Internal HDD error! Strike the f1 key to continue,F2 to run the setup utility Sasa hapo ndo uwezo wangu wa kung'gamua mamb ya hii pc ulipoishia na ukizngatia nina kaz za...
Back
Top Bottom