Kati ya mambo yalikuwa yananiboa kwenye hizi keyboard za simu ilikuwa ni auto word corection na word prediction. Maana kimsingi me natumia sana kiswahili kuliko lugha ingine, so ilikuwa inaniletea muda mwingine naandika kitu kingiiine na sometime ata unaweza kutukana.
Lakin kwa ai type keyboard kuongeza kiswahili kama moja ya lugha amabzo ztakuwa zinatumika kweny keybord yao nimefurahi sana,hii maana yake ukiandika neno la kiswahili wakati unatype italeta la kiswahili na ww uta click tu nakuendelea. Kwaio apa yatapngua yale mattzo ya typing error ambazo kimsingi zilisababishwa na word prediction au autocorrection.