Msaada wa namya ya kufanya Online upgrade ya simu

Msaada wa namya ya kufanya Online upgrade ya simu

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
katika pita pita yang kweny simu yangu nimekuwa nikuta h kitu bt nashindwa namna ya kufanya hyo onlneupgrade.

Nikichagua kweny hyo online upg, nakutana na vfuata
-firmwire upgrde
-system software upg
-system seting upgrad

Sa nauliza hz kaz yake ni ipi?, na kama ikiwa kaz yake n kuboresha simu n namna gani naweza fanya hzo upgrade?
Natanguliza shukran natumia cm huawei U8185-1
 
Mkuu kwanza inabidi useme una2mia os gani na version gani,from there m2 anaweza akajua aanzie wapi kukusaidia
 
Back
Top Bottom