Kwa anayetak full key ya document to go

Kwa anayetak full key ya document to go

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Kwa watumiaji wa smartfne (android OS), kuna app moja inaitwa document to go hii app kazi yake ni kuweza ku type document katka mfumo wa MS WORD, MS EXCELL na MS POWERPOINT.

Kwa maana kwamb kupitia app h unaweza fanya typing kupitia cm yako,na ukaenda ku print kwa size utakayo,japo utatakiwa kufanya editing kidogo kwa kutumia computer yako endapo hautakuwa vizur sana katka kuitumia hii app, bt kwa anayeweza anaweza akafanya kila kitu kupitia kwenye cm yake

App hii imewah nisaidia sana,maana kuna muda mwngne unataka kutengeneza doc halaf unakuta komputa hauna au chaji hakuna halaf n uck,bt kwa kutmia hii utaweza solve!.

App hii ili iwezefanya hayo yote inatakiwa ipate key zake,maana ilivo kwenye cm ipo locked na hyo full key yake wanauza kwenye gugo play!!

Kutokana na kwamb we are! napenda kushare nanyi freely, chakufanya we nitumie email yako(unayotumia kwenye cm yako,i) kwa njia ya PM nami nitakupatia bila hiana!!

Thanks to you!
 
Back
Top Bottom