Fanya Setting hizi kujua aliyekupigia Wakati umezima simu yako(Voda na Airtel tu)

Walas Ba

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
3,349
1,622
Wasalamu wakuu.
Nitaeleza kwa picha zaidi wakuu.

attachment.php

Nenda setting kwenye simu yako.
attachment.php

Then ingia kwenye call setting
attachment.php


Alaf nenda apo kwenye call fowarding

attachment.php

attachment.php


Then utaingiza hizo namba(0754 125125)kwenye hiyo row alafu utabonyeza Enable. Hiyo namba inayoonekana apo ni kwaajili ya watumiaji wa vodacom.

Alafu kwa anayetumia Airtel ataweka 15524, kwenye hiyo row alafu unaweka enable.

Kuna mistype ilitokea mara ya kwanza kwa wanaotumia airtel ilikuwa inagoma sasa waweza fanya inshort like.

UPDATES WAKUU

CODES

*62*15524# Kwa airtel

*62*0754125125# kwa voda.


Unaweza fanya kwenye simu zote iwe iphone, bb, nokia, na makolokocho yote uyajuayo wewe.

Pia nashauri kwa ambaye hataeza kufata procedure za kwenye picha atumie hizo code apo juu.

Pia kwa wanaotumia mtandao wa tigo, juhudi za kupata diversion code au number bado zinaendelea.

Nasubiri feedback hasa kwa wale ambao walishindwa ku activate, pia ieleweke kwamba sipati taarifa zozote kuhusu simu zenu, nasema hivi maana kuna watu wanaweza dhani ni namba zangu hizo.

Pia naweka wazi kwamba hakuna gharama zozote zilizofichwa kwenye hudumu hii, ambayo kimsingi inatolewa na makampuni husika ya simu.

Pia ukiona inakuboa una option ya kujitoa.

Asanteni sana, Na poleni kwa usumbufu.
 

Attachments

  • 1392746702247.jpg
    1392746702247.jpg
    45.2 KB · Views: 7,739
  • 1392746761861.jpg
    1392746761861.jpg
    35 KB · Views: 7,943
  • 1392746829258.jpg
    1392746829258.jpg
    37.9 KB · Views: 7,401
  • 1392746918310.jpg
    1392746918310.jpg
    52.5 KB · Views: 7,358
Lakini kwa vodacom mbona ni hivi tu *62*0754125125#
over? Kwa simu yeyote ile
*62* ni divertion enable when the phone is off
inaweza ku work kwa airtel pia kwa hivi *62*15544# situmii airtel sijawahi jaribu
 
Je hakuna "hidden cost" hapa tuwe makini? Kuna watu wengi wanapoteza pesa zao kwa kuingia ktkt huduma zisizo na umuhimu.
 
Lakini kwa vodacom mbona ni hivi tu *62*0754125125#
over? Kwa simu yeyote ile
*62* ni divertion enable when the phone is off
inaweza ku work kwa airtel pia kwa hivi *62*15544# situmii airtel sijawahi jaribu
Upo sawa kabisa mkuu nayo inawork vizuri tu. Me nilionelea hyo ndo rahisi kwangu
 
Back
Top Bottom