Hawa wanaweza kuwa wanafaidi mapenzi

Hawa wanaweza kuwa wanafaidi mapenzi

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Wasalamu

Jamani hili gonjwa kila siku nataka dawa lakini hola.

Nimekaa na kuwazua nikaona hawa wanawezakuwa wanafaidi huu ugonjwa(mapenzi)

Ambao sio attention seeker, hawa wanaweza wakafaidi penzi maana wanafanya kilichopo ndani ya uwezo wao na si kuangalia wapenzi au mpenzi wake atasemaje. wanafanya coz of love.

Wasiopenda kuoneshwa kwamba wanapendwa, mfano unakuta jamaa au demu kakomaa kumuuliza mpenzi wake et unanipenda kweli? . Huyu huwa analazimisha kuona kama anapendwa kiukweli huyu ataishi sana maisha ya ndoto. Sasa kwa mtu amabaye anakaa na kubaini mwenyewe kama anapendwa kiukweli mfano wake ni kama mtu ambaye amepata swali la jibu kwa kwenda library so anakuwa anajua what ameandika.

Asiyeshirikisha sana akili hasa ya logic kwenye mapenzi, hili ni suala sugu sana ktk mapenzi mfano mpenzi wako anafanya jambo yy anaona dogoo sa ww unakomaa na li phD lako kulogic et kwann hajapokea simu au y iko busy ukaanza kuweka majunguu ww mwiso wake lazima tukuzike na mapenzi utuachie sie.

Ni vigumu kuapply maana akili zetu zimeaminishwa kwamba mapenzi ndo kila kitu
NB Unaweza kuishi hivi endapo tu tairuhusu akili yako ifanye maamuzi ikiwa free na isiyoongozwa na majungu, hisia za kuonewaa tu kwenye mapenzi, akili ambayo haikai na pre judgement
 
Sijui ulikuwa unataka kusemanini sijaelewa kwakweli miss chagga pita huku
 
Niliowasema hapo juu nahisi ndo wanapata raha ya mapenzi kwa vigezo kwamba.

Ukikomaa sana kwa kuonesha mapenzi unaonekana kama vile ni mgeni sna au unauzamani fulani hivi.

Pia smtimes so kila unalofanya lazima mpenzi wako akuupe masiifa , ukipenda ayo masifa unaweza ona kama hupendwi usipopewa muda mwengine so ukawa unaona penzi kama sio safe area.
 
Umesahau kusema wewe ni mwanafunzi/mhitimu wa chuo.
 
I believe ukipunguza EXPECTATIONS NA KUMKUBALI MWENZI KAMA ALIVYO inasaidia sana kwenye mahusiano
 
Wasalamu

Jamani hili gonjwa kila siku nataka dawa lakini hola.

Nimekaa na kuwazua nikaona hawa wanawezakuwa wanafaidi huu ugonjwa(mapenzi)

Ambao sio attention seeker, hawa wanaweza wakafaidi penzi maana wanafanya kilichopo ndani ya uwezo wao na si kuangalia wapenzi au mpenzi wake atasemaje. wanafanya coz of love.

Wasiopenda kuoneshwa kwamba wanapendwa, mfano unakuta jamaa au demu kakomaa kumuuliza mpenzi wake et unanipenda kweli? . Huyu huwa analazimisha kuona kama anapendwa kiukweli huyu ataishi sana maisha ya ndoto. Sasa kwa mtu amabaye anakaa na kubaini mwenyewe kama anapendwa kiukweli mfano wake ni kama mtu ambaye amepata swali la jibu kwa kwenda library so anakuwa anajua what ameandika.

Asiyeshirikisha sana akili hasa ya logic kwenye mapenzi, hili ni suala sugu sana ktk mapenzi mfano mpenzi wako anafanya jambo yy anaona dogoo sa ww unakomaa na li phD lako kulogic et kwann hajapokea simu au y iko busy ukaanza kuweka majunguu ww mwiso wake lazima tukuzike na mapenzi utuachie sie.

Ni vigumu kuapply maana akili zetu zimeaminishwa kwamba mapenzi ndo kila kitu
NB Unaweza kuishi hivi endapo tu tairuhusu akili yako ifanye maamuzi ikiwa free na isiyoongozwa na majungu, hisia za kuonewaa tu kwenye mapenzi, akili ambayo haikai na pre judgement

rational ya hili ni ipi? Me naona unajikanyaga 2!. Ivi unasoma au umesoma chuo kipi ninamashaka na ww!
 
Watu kama ww ndo nawazungumzia hapa unatumia nguvu na hisia zaidi,

Apo najaribu kuangalia kwamba mapenzi yanaweza kwenda yanavyotaka na sio kuyalazimisha, mfano unaamrisha kuuliza et unanipenda just wait utaambiwa tu, na kama unapendwa huwwzi tumia nguvu sana kujua, ukiona unatumia ngvu jua haupo.

Kipi cha maana hasa kweny mapenzi mpaka nitafte rational ? Mapingwa wa kulogic wamechemka kwenye mapenz wamebakia na theory uchwara ambazo zinakarriwa na wehu.
 
Unamaanisha mapenzi ni option?

Hakuna cha lazima apo, kama huwezi kukaa peke ako pia unatakiwa uamin kwamba hakuna utakaye met naye %100.

Thats y nikasema smtimes kuna vitu viktokea just chil and relax so kila jambo uhumuke.
 
Watz mnahangaika mno na mapenzi ambayo ni kitu simpo kabisa. Wageni wanaumiza vichwa namna ya kuvusha tanzanite, pembe za faru na ndovu, Mtwara-gas, Rich-mond-uli, symbion Inc. Lakini watz wasomi kwa wajinga wako occupied na dhana ya mapenzi, what shame..!!
 
Mtoa mada unatatzo linaitwa flight of ideas unaongea vitu nusu nusu kabla hili halijaeleweka vizur usharukia jingine.
 
Back
Top Bottom