Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Anaulizwa kwann wanakiita cha kichaga anasema hizo ni siasa za majitaka ambao hawataki watu wengine wajiunge nacho.
 
Anasema awezi peleka watt shule za kata kwass wamefanya ivo sio kwa lengo la kuwafanya wwngine wasome vizuri.
 
Anasema zitto na chadema walishamalizana kinachomfanya aonekane bado mwanacham ni kwass ya amri ya mahakama.
 
Huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.
 
Ila salama kaonyesha ka ubaguzi flani kwa lisu. Ila lisu kamkaushia tu
 
Hajaonyesha heshima kwa kifupi. Amehoji maswali mazuri lakini attitude mbovu
 
Mimi siangaliagi hicho kipindi cha huyo mla unga ,... Mwanamke si mwanamke , mwanaume sio mwanaume. Hakaeleweki , kamekuwa kama ka mjusi
 
Huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.

kwani wewe unaweza kuwapeleka? au unataka akudanganye?
 
Huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.

Na wewe unajiita "great thinker"???????
 
ako kasalama ndo kapumbavu kamwisho cjui nan aliwai kaongopea kua kenyewe ni ka mtu ka maana sana?? uwa sidhan kama kalishawai kukaa darasan ata kdogo kabla ya kukimbilia utangazaji mana wengi wao wakishakimbia umande wanadhan njia rahis ya kuish ni kutangaza, na ndo sababu Mziray super coach alikua anawadharau sn wengi wao. he was right!
 
Mimi siangaliagi hicho kipindi cha huyo mla unga ,... Mwanamke si mwanamke , mwanaume sio mwanaume. Hakaeleweki , kamekuwa kama ka mjusi

mkitekenywa kidogo mnaruka,ingekuwa wa chama kingine mngemuona salama mtu mzur na hili povu lisingewatoka
 
Mimi siangaliagi hicho kipindi cha huyo mla unga ,... Mwanamke si mwanamke , mwanaume sio mwanaume. Hakaeleweki , kamekuwa kama ka mjusi

mkitekenywa kidogo mnaruuka,ingekuwa wa chama kingine mngemuona salama mtu mzur na hili povu lisingewatoka
 
Back
Top Bottom