Search results

  1. D

    Kwa kosa hili, Lowassa huji kuiona Ikulu

    Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini uwezo wa kiuongozi alionao lowassa tokea zamani sana pamoja na kukataliwa na Baba wa Taifa. Uwezo wa Edward Ngoyai Lowassa katika uongozi wan chi hii uko dhahiri katika mambo mengi tu aliyoyasimamia kuanzia kwenye wizara alizozisimamia hadi alipokuwa waziri mkuu...
  2. D

    vyeti vya chuo UDSM 2012 vinatoka lini

    kwa anayejua vyeti vya chuo kikuu UDSM kwa tuliomaliza mwaka jana vinatoka lini anitaarifu maana kuna kazi zinahitaji vyeti. thanks in advance
  3. D

    nyie STARTIMES mbona wezi hivi?

    Nimenunua decoder yenu tar 15 jan, eti jana mmenikatia service wakati mwezi haujafika. halafu inaonekana hata kukata kwenu mnakata manually maana kwanza mnazima service kwa muda mrefu. kwani hamna program ya kuweza kumkatia mtu tarehe yake ya kulipia ikifika? sasa kwa mpango wenu huu silipii...
  4. D

    Mtaji wa CCM unapo back fire

    Kwa muda mrefu CCM imekuwa ikitumia 'ujinga' kama tatizo la kimkakati la kuendelea kubaki madarakani. Ni ukweli usiopingika kuwa sababu ya ujinga unaotokana na umasikini kukithiri katika sehemu kubwa ya jamii, hata wakati wa kampeni za uchaguzi CCM imekuwa ikifanya jitihada za makusudi...
  5. D

    Cresta GX 100 on sale 5m

    Gari ipo sokoni cresta gx 100, engine vvt i, mwenye nayo ana gari nyingine hivyo anaiuza hii anayehitaji awasiliane na mimi 0757 859012
  6. D

    DR. KAFUMU ON STAR TV: Hivi kwa nini viongozi wetu wanayaona matatizo wakishatoka

    Nilikuwa namuangalia Dr Dalali Kafumu yule mwanasiasa na msomi aliyekuwa kamishana wa madini na mbunge wa igunga kabla ya kuvuliwa na mahakama. Alichonishangaza ni kuyaelewa matatizo ya nchi hii kwa ufasaha kabisa kuanzia tunavyoporwa madini hadi tatizo la rushwa. Tena ameamua kuandika hadi...
  7. D

    Yusufu hafai kwenye vitanda vya spring, utaumbuka

    Wakubwa Shikamoniiiiii Juzi kuamkia jana nilikuwa na hofu ya mwisho wa dunia, nikaamua nijilipue kwa kukamata sistaduu mmoja wa mtaani kwetu ambaye nilimuweka pending kitambo, sasa nikaenda nae viwanja halafu karibia na saa 6 usiku nikaenda nae lodge, kufika lodge tukachukua chumba na kuagiza...
  8. D

    DSTV message '7 days to go' appeared on top right side. OOOO Gosh

    Nimeshangaa kukuta hadi kwenye king'amuzi cha DSTV wameadika 7 days to go pale juu kulia. Ina maana hao dstv nao wanaamini mwisho wa dunia ni tar. 21/12. mbona wanatutumia msg tukalipie hadi mwakani?
  9. D

    Muhudumu wa lodge anahitajika dar es salaam

    muhudumu wa lodge anahitajika nafasi ni reception. atakuwa analala hapo hapo lodge na kula hapohapo wa kutoka mikoani maana wa hapa dar es salaam ruhusa ni nyingi hatutaki. mshahara ni sh. 100,000 kwa mwezi. jinsi ya kuapply tuma picha yako ukiwa unaonekana mwili mzima kwenye MP yangu na...
  10. D

    Vyumba self vyenye ac, fan, umeme na maji ya dawasco vinapangishwa

    vIPO VYUMBA 12, VILIJENGWA KWA AJILI YA LODGE, MWENYE LODGE KAGAIRI KWA SABABU ANAONDOKA KWENDA NJE YA NCHI HIVYO HAWEZI KUISIMAMIA, AMEAMUA KUPANGISHA, VYUMBA VIPO NDANI YA UKUTA NA ENEO NI KUBWA, KUNA SEHEMU YA KUPUMZIKIA AMBAYO ILIJENGWA KWAAJILI YA BAR. IPO UBUNGO KIBANGU, BARABARA YA...
  11. D

    Kwa haya, Nyerere alitawaliwa na ubinafsi

    Nyerere alikuwa anajua katiba haijakaa vizuri inampa madaraka makubwa raisi kiasi anaweza kuwa dictator lakini hakutaka kubadilisha katiba ambayo ingewapa madaraka wananchi ili raisi yoyote atakayeingia asiwe dictator. Nyerere kwa kuiacha katiba ambayo yeye mwenyewe alijuwa ni ya kidictator...
  12. D

    Four USA presidents who sought re-election and failed can u name them?

    Thia question has been asked somewhere and whoever answers correct will get US$5,000, can anyone who knows this help me. So far I have got three names, somebody jefferson, Jim carter and G.W. Bush sr. I need this money guys quick please.
  13. D

    Kumbe polonium 110 ndio chanzo cha mwakyembe na mwandosya

    Wazee nimepata taarifa kutoka mbeya ambako waheshimiwa walikuwa wanatoa sadaka ya shukrani kwa mungu kutokana na maswahibu yaliyowakuta. Walikwenda na riport za ugonjwa wao uliokuwa unawasumbua ambazo hizo riport ndizo walizoziwasilisha selikalini, Kifupi ni kwamba waliwaonyesha watu wachache...
Back
Top Bottom