Gari ipo sokoni
cresta gx 100, engine vvt i,
mwenye nayo ana gari nyingine hivyo anaiuza hii
anayehitaji awasiliane na mimi 0757 859012
MMMMh milini tano! kwa nini? bei ndogo sana inanipa wac wac
Woow, mpe Mil.20 bas uchukue gari ili isikupe wasiwasi ... najua hawezi kuikataa!
Hahahaa, kazi ipo haswaa. Hiyo AYJ, 5M ni bei halali tu!MMMMh milini tano! kwa nini? bei ndogo sana inanipa wac wac
MMMMh milini tano! kwa nini? bei ndogo sana inanipa wac wac
Hizi ni ~2000cc, na mileage itakuwa imeenda sana nafikiri bei halali kwa ARJ ni Tshs 3.0-3.5 kama haina ugonjwa wa kudumu.
we kama unahitaji gari tuwasiliane ulione gari, njoo na fundi wako kama hujiamini. mimi ndio mwenye gari na naliuza kwa kuwa nina gari nyingine na hili limekaa tu, sasa sitaki kulipia leseni zake wakati silitumii. kama unaona nakubambika basi nenda ukanunue lumumba au magomeni kwenye magari yaliyogandishwa na super glue ndio utaielewa. gari iko bomba kila kitu kinafanyakazi, ac utafikiri upo norway,
kuna siku niliwapa watu lift asubuhi wakaomba washuke kwenye mataa waotee jua kwa jinsi ac ilivyokuwa inachapa