Wakubwa Shikamoniiiiii
Juzi kuamkia jana nilikuwa na hofu ya mwisho wa dunia, nikaamua nijilipue kwa kukamata sistaduu mmoja wa mtaani kwetu ambaye nilimuweka pending kitambo, sasa nikaenda nae viwanja halafu karibia na saa 6 usiku nikaenda nae lodge, kufika lodge tukachukua chumba na kuagiza chips yai na soda. mle ndani kulikuwa na kiti kimoja na meza moja ndogo, sasa tulivyoingia yule duu akawa amekaa kwenye kiti na mimi nikakaa kwenye kitanda. chakula kilipofika ikabidi yule duu naye akae kwenye kitanda ili kile kiti mimi nikitumie kama meza. Hivyo wote tukawa tumekaa kwenye kitanda.
Sasa mimi sikujua kama lile godoro lina spring katikati, baada ya kula zile chips na soda tumbo likaanza kuitikia kwa kuunguruma. sasa mimi sipendi kurudisha tumboni gas ambayo inataka kutoka kwa sababu tumbo litaniuma sana. Nikaona kama kawaida huwa gas ikitaka kutoka naitoa kwa mtindo wa yusufu. kumbe yusufu kwenye godoro la sponge ndio anatoka bila kelele, Eebwana eeh, yule yusufu nilivyomtoa alitetemesha ile spring mpaka yule sista duu akajua ni tetemeko. niliaibika sana. sasa nachofikiria na mimi ni kulipiza kisasi kwa kumuomba modem yule sista duu, si nitakuwa nimeua soo?