Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili...
Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa...
Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa...
BRELA imekuwa mwiba kwa sasa, hawatoi huduma kama hujawapa kakitu, kumekuwa na hawa mawakala wanaosajili makampuni na majina ya biashara, sasa ukiwatumia wale wanakwambia weka na Sh 50,000 ya...
Hellow JamiiForums team, nimeona hiyo post ya Mamlaka ya Maji Igunga, nami nina jambo la kumshauri Waziri Aweso, asiishie hapo tu, pia kuna hizi Bodi za Maji za Mabonde, na zenyewe zichunguzwe...
Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu...
Nimeona taarifa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwenye ukurasa wao wa Instagram kuwa eti kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 kiasi cha Shilingi Milioni 420 zilipelekwa katika Kata 14 na kila moja...
Kero yangu inahusu baadhi ya watumishi wa umma ambao tumekosa kupandishwa madaraja kutokana na changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa PEPMIS na uzembe wa baadhi ya wakuu wa vituo.
Baadhi...
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo.
Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
Serikali imeweka sharti kwamba ili mtumishi apandishwe daraja, lazima awe amefikisha alama (score) ya angalau asilimia 75 kwenye mfumo wa PEPMIS kwa mwaka wa 2024/2025. Tatizo ni kwamba watumishi...
Kumekuwa na changamoto kubwa ya maji mkoa wa Mwanza haswa wilaya za Nyamagana na Ilemela. Baadhi ya maeneo hayajapata maji kwa wiki mbili na mamlaka kupitia idara yao ya huduma kwa wateja zinasema...
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
Tunafanya kazi kampuni ya Kichina ipo Ilemela hapa Mwanza, tunajenga Soko Kirumba, kero yetu ni kuwa michango ya Hifadhi ya NSSF ni shida hatujawekewa tangu Septemba 2025.
Kazi ilianza tangu Mei...
Mimi kwa taaluma yangu ni mwalimu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta ajira serikalini kupitia Ajira Portal. Nimekuwa nikifanya usaili mara kwa mara, napita hatua ya maandishi hadi...
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo).
Changamoto yake
Ni...
Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika.
Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu...
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za...
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao...
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma:
~ Halmashauri ya...
OMBI LA UCHUNGUZI WA HARAKA KUHUSU IGUWASA
Tunaziomba Wizara ya Maji, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAKUKURU na mamlaka nyingine husika kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.