Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo...
Tunaiomba JamiiForums kutusaidia kupaza sauti kwa idara ya maji MWANZA (MWAUWASA)kwani ni mkoa ambao pamoja na kua na ziwa lakini maji yanatoka Jumatano au Alhamis pekee tena either usiku wa...
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya.
Kwa wiki anaweza kuna mara...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una jukumu kubwa la kuhakikisha kuwa wastaafu na wanachama wake wanapata huduma bora na stahiki baada ya miaka mingi ya kulitumikia taifa...
Wachezaji wa Pamba Jiji FC wametishia kususia mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union wa Juni 30, 2026, kutokana na kile walichodai kuwa ni kucheleweshewa malipo ya...
Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya...
Asalamu Alaikum ndugu,
Naomba muongozo kutoka kwa wahusika, hasa Kikosi cha Jeshi la Polisi Kitengo cha Barabarani na viongozi wengine.
Hapa mjini (Kata ya Sahara, Wilaya ya Nyamagana jijini...
Kuanzia asubuhi ya leo Juni 30, 2026, Wananchi wengi tumekwama kupata huduma ya kununua dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kufuatia mkwamo wa kimfumo uliosababisha hitilafu katika...
Kuna mambo ya kusikitisha, na mengine yanayoumiza. Ni matukio yanayokufanya ujiulize maswali mengi bila kupata majibu hasa ukiwaza mwelekeo kesho kwenye mambo muhimu yanayogusa ustawi wa jamii...
Wakazi na mashabiki mbalimbali wamekuwa wakilalamikia hali ya huduma katika Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Tanzania wakisema kuwa ukosefu wa vyoo vya kutosha ndani ya uwanja huo...
Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote.
Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa...
Mfumo mpya wa BRELA (BOS) unasumbua sana, mtu akitaka kupata huduma mbali mbali kupitia mfumo huo, anapewa ujumbe wa "an unexpected error occurred. Please try again". Muda mwingine wanakuambia...
Jaman kuhusu maji Kata ya Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ni janga kubwa, tuna mabomba ila maji ni kitendawili, Waziri kaja Mwanza jiji, viongozi wetu wanajua lakini bado hawajatatua...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameagiza kuchukuliwa hatua kwa maafisa rasilimali watu watakaobainika...
Habari wakuu hapa ni Pongwe- Tanga, nashukuru kwa kuripoti changamoto yangu siku kadhaa nyuma, tayari mkandarasi yupo kazini kama mnavyoona, Asanteni na msichoke kuripoti changamoto za wananchi na...
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui...
Kero yangu ni kuhusu Shirika la Bima la Taifa NIC (National Insurance Company)... kwanza walipita makazini kutoa orientation jinsi wanavyofanya kazi... baada ya kusaini zile karatasi za mahudhurio...
Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara...
Baraza La Taifa La Hifadhi Na Usimamizi Wa Mazingira (NEMC) Kupitia Kwa Martha Kawishe Ambaye Ni Kaimu Meneja Mawasiliano Na Uhusiano Kwa Umma Amesema NEMC Inajukumu La Kusimamia Uzingatiaji Wa...
•Mh Katibu Mkuu inakuwaje mtumishi anapata total score 65 lakini progressive 00% shida kubwa inakuwa kwa nani?
•Maana yake huyu mtumishi hajakuwepo kazini mwaka mzima?je yule anaemsimamia aliwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.