Responded Threads

Anonymous
KERO Responded 
Mimi Mkurugenzi wa Kampuni niliwasilisha taarifa zangu BRELA Mbeya kuhusu kupata Annual Return nilikamilisha process zote na Ada nikalipa ila zaidi ya wiki mbili nikawa napambania kupata a-approve...
1 Reactions
2 Replies
120 Views
McLaren
Responded 
"Ninawasihi Watanzania wote, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua ardhi, hakikisheni mnafika katika ofisi za ardhi kwa ajili ya kuhakiki uhalali wa eneo husika'. Serikali imejipanga kuhakikisha...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Anonymous
KERO Responded 
Licha ya jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya kujifunzia nchini, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa Wanafunzi wanaendelea kusoma katika mazingira...
1 Reactions
19 Replies
395 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number...
0 Reactions
2 Replies
156 Views
Anonymous
KERO Responded 
Hiyo ni Chuo Kikuu Cha UDOM mazingira ya vyoo ni mabaya yaani inatisha zinaweza pita hata siku nne bila usafi kufanyika, na hapo watu mnalipa accommodation fees. Hii hali ni ya muda mrefu sana...
0 Reactions
5 Replies
302 Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Waziri wa Afya, Mchengerwa tunaomba fuatilia kwa ukaribu Hospitali ya Ngamiani - Tanga kuna uzembe flani wa wauguzi, tarehe 24/6/2026 kuna mgonjwa alikutwa amefia chooni bila ya wauguzi kujua...
0 Reactions
12 Replies
308 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kumekuwa na wimbi kubwa la vyuo vya mafunzo ya ufundi hasa vya private na baadhi vya taasisi za dini ambazo hazitendi haki kwa jamii. Mfano kutoa vyeti feki na huku bado wakiendelea kufanya hiyo...
2 Reactions
4 Replies
294 Views
easy Bony
KERO Responded 
Kuna Hali ambayo hatuelewi. Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10. Lakin Hadi Leo hatujapata...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kutoka GEITA-Tanzania, napenda kuiomba mamlaka ya ufundi Stadi Veta kurekebisha mifumo yao ya matokeo wanachelewesha mno, yani toka mwezi December 2025, tulifanya Mitihani ya CBA na NABE mpaka...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Anonymous (9b13)
KERO Responded 
Mpaka sasa tuna zaidi ya mwezi tangu tumalize kufanya mitihani, leseni zetu zimeisha, hali inayosababisha madereva wengine kupoteza ajira zao. Mpaka sasa hatujui ni lini tutapata vyeti ama...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Mwanantogakulya
Responded HOJA 
VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi tuliomaliza mafunzo ya udereva katika Chuo cha VETA Mbeya mwezi Septemba 2025, Baada ya kumaliza mafunzo, tuliambiwa hatuwezi kupata leseni ya udereva Daraja E bila...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Anonymous
KERO Responded 
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tumelipia huduma ya kuunganishiwa umeme Kata ya Moshono hapa Arusha Mjini, ikiwemo gharama za nguzo na taratibu zote zinazohitajika kupitia TANESCO. Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani mwezi...
1 Reactions
1 Replies
120 Views
McLaren
Responded 
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuendelea kufanya uchunguzi wake hadi mwisho kuhusu wanafunzi walioingiziwa kimakosa fedha...
1 Reactions
10 Replies
221 Views
Anonymous
KERO Responded 
Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo...
7 Reactions
58 Replies
1K Views
Anonymous
KERO Responded 
Mimi ni Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza, katika kitongoji changu tumewekewa dampo kwenye makazi ya watu, pia wanachoma taka na kuleta moshi...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kwa takribani wiki 2 mfululizo na zaidi, TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya Viwandani na husema ni DHARURA na HITILAFU, kila ifikapo Saa 12 Jioni na kurudisha umeme Saa 3 au 4 Usiku...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo...
5 Reactions
18 Replies
541 Views
Back
Top Bottom