Responded Threads

Anonymous
Responded HOJA 
Habari, Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC). Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Nyakijooga
DOKEZO Responded 
Ni takribani miaka mitatu tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Awamu ya Nne wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi) katika kipande cha Mwenge hadi Tegeta (DAWASA). Hata hivyo, kasi...
2 Reactions
0 Replies
195 Views
Anonymous
KERO Responded 
YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Mkono Mmoja
KERO Responded 
Habari zenu wakuu!!! Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli...
9 Reactions
56 Replies
701 Views
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI? Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Hivi karibuni Wabunge wa Zanzibar ambao wanawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano walijichanga na kutaka kutoa zawadi kwa Wananchi wa Pemba, ambapo waliandaa nyama. Nyama hiyo iliingizwa...
4 Reactions
21 Replies
500 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tunapenda maendeleo na tunaipongeza Serikali kwa juhudi zake za kuboresha miundombinu kupitia ujenzi wa barabara za mitaa. Hata hivyo, si vyema mradi unaolenga kuwaletea wananchi maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Anonymous
Responded 
Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini. Soma: Ajira Mpya Wilaya ya...
2 Reactions
6 Replies
139 Views
monte caro
KERO Responded 
Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote...
3 Reactions
4 Replies
494 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama...
4 Reactions
11 Replies
504 Views
Anonymous (f18b)
DOKEZO Responded 
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali. TAKUKURU wilaya walikuwa...
1 Reactions
5 Replies
278 Views
Anonymous (c258)
DOKEZO Responded 
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo. Hii...
0 Reactions
6 Replies
378 Views
Anonymous
KERO Responded 
"Mimi ni mkazi wa Mwanza, ninaishi Mtaa wa Mpya, Kata ya Isamilo. Maisha yangu ya utafutaji yalianza hapa, na mkasa wangu ulianza hivi: Ilikuwa mwaka 2020 nilipofanikiwa kununua eneo langu hapa...
0 Reactions
7 Replies
344 Views
Anonymous
KERO Responded 
Watumishi wengi wanaotumia kalenda year waliohama halmashauri moja kwenda nyingine kuanzia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 12 mwaka jana wamekumbana na changamoto ya kufutika kwa mipangop kazi/majukumu...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Maji Safi na Taka (MTUWASA) wakazi wa Mbae Mashariki, Manispaa ya Mtwara Mjini tumeomba tuunganishiwe huduma ya maji kwa muda mrefu bila mafanikio. Pamoja na juhudi za...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Candela
Responded 
Unaenda Brela unafungua kampuni kwa kupeleka documents zote, unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela. Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna...
11 Reactions
48 Replies
1K Views
DodomaTZ
KERO Responded 
Hali ya vyoo katika Chuo Kikuu cha UDOM, hususan katika College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS), imezidi kuwa mbaya kwa kiwango kinachotia wasiwasi mkubwa. Kwa zaidi ya mwezi mmoja...
1 Reactions
6 Replies
372 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mimi ni mmoja wa wananchi wa Kigoma niliyeamua kuvuta umeme nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza kabisa. Nilifanya taratibu zote zinazotakiwa, nikalipia huduma, na juzi tu nikafungiwa mita yangu...
3 Reactions
6 Replies
236 Views
Anonymous
KERO Responded 
Msewe Chief Kunambi Maji yamekuwa shida tangu November 2025 ✅️ Mvua ikinyesha maji nayo yanatoka, Ikikatika maji nayo yanakatika. ✅️ Tunamaliza wiki mbili bila maji ya mgao, yanaweza toka usiku...
3 Reactions
26 Replies
367 Views
Back
Top Bottom