Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza anuai mpya ya COVID-19 iitwayo EG.5 - iliyopewa jina lisilo rasmi "Eris" huku likishauri kila nchi kuchukua hatua mahsusi za kufuatilia uwepo wake...
Kizza Besigye na Yoweri Museveni walikuwa marafiki walioshibana wakati wa Vita ya Msituni Uganda kumuondoa Milton Obote miaka ya 1980, na Dkt. Besigye aliwahi kuwa daktari binafsi wa Museveni na...
Kuna kitu kinanichanganya sana juu ya haya maziwa mbadala (Formula), je ni kweli yapo sawa tu na ya mama? Yaani mtoto aliyetumia Formula na aliyenyonya kwa mama yake hakuna aliyemzidi mwenzake...
Kuna maeneo fulani nimepita ya mkoa wa dodoma wilayani huko; nimekuta kuna msururu mrefu sana wa vyombo vya moto kwenye moja ya petrol station. Nikajaribu kuuliza kuna shida gani hapa? Wenyeji...
Aloo, hawa mbu wa Ifakara mbona kama siwaelewi hivi? Nimeweka neti wako nje ila bado wanang'ata, hapo miguu haijagusa neti ni kama wanatumia wireless.
Nimeuliza wenyeji wakasema kuwa mbu hawa ni...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na...
Graca Machel ni mwanamke anayetajwa kuwa na historia ya kuolewa na marais wa nchi mbili tofauti za Msumbiji na Afrika Kusini. Madai haya yanafafanua zaidi kuwa huyu ni mwanamke pekee aliyewahi...
Hoja ya Serikali ya Tanzania kufanya Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World ya Dubai kwenye kuendeleza bandari ya Dar Es Salaam imezua mambo mengi yanayojadiliwa sana.
Mojawapo ya Mambo hayo...
Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu...
Wakuu,
Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha...
Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani...
Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa pindi hutumiapo dawa zozote basi itakupaswa usitumie maziwa aina yoyote kwasababu matumizi ya maziwa hupunguza au kuondoa kabisa ufanisi wa dawa...
Salaam Wakuu,
Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja.
Kuna ukweli...
Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka...
Mkoa wa Iringa umekumbwa na sintofahamu kubwa baada ya kuenea kwa taarifa zinazodai kuwa baadhi ya Vijiji vya kwenye Mkoa huo vimevamiwa na Simba wanaokula mifugo na kushambulia watu.
Baadhi ya...
Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000.
Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
Maji ya nazi (Madafu) ni kinywaji maarufu sana mtaani. Ni maji hanayopatikana kwenye nazi changa (Cocos nucifera) ambayo hubadilika kuwa tui baada ya kukomaa kwa nazi.
Kumekuwepo na madai kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.