Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa homa ya ini vimeripotiwa Kuongezeka kwa kasi barani Afrika.
Pia, baadhi ya nyaraka zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa idadi ya visa vya...
Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na...
Leo nimesoma mtandaoni kuwa Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Naomba kujua kama ni kweli maana siku zote mie najua vidonda vya tumbo huvipata...
Nimekuwa nikisikia kuhusu madhara ya mafuta yatokanayo na wanyama (fat) kuwa huganda kwenye mishipa na kusababisha shinikizo la damu.
Kilichonishitua zaidi ni kuwa ngozi ya kuku kuwa ni hatari...
Kuna dada zetu wanapenda sana urembo hivyo kujiongezea baadhi ya vitu kama matako, kope, lenzi kwenye macho, matiti vimekuwa vitu vya kawaida sana kwao. Ukweli hayo yote wanayojiongea yanakuwa na...
Salaam wakuu,
Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na...
Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza...
Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua...
Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya...
Nimekuwa nikisikia kuwa wabunge wetu hawalipi kodi kwenye mshahara mnono wanaopata. Kuwa walimu wanalipwa Tsh 400,000 lakini kamshahara hako kanaliwa na PAYE.
Wabunge wetu wakiwa kwenye vikao...
Msiwakate watoto vimeo kwa sababu zozote, inaweza pelekea mtoto kupoteza maisha kutokana na kuvuja damu; kama mtoto ana shida yoyote muone daktari atakushauri tiba sahihi.
Kuna kijiwe huku Bonyokwa tunapiga stori za kawaida kuhusu nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sasa kuna jamaa kasema kuwa Rais wa awamu ya pili nchini Kenya, Hayati Daniel Arap Moi wakati...
Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata...
Wakuu nimekutana na makala moja CNN kuhusu utafiti ulioonesha kuwa Watu wanaotumia Bangi wako hatarini kupatwa na matatizo ya Shambulio la Moyo au Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure). Hii...
MADAI
Mdau wa JamiiForums ametoa mkasa mmoja unaomhusisha mume wa rafiki yake wa kike aliyeanza kuonesha dalili za ujauzito kwenye ujauzito mchanga wa mkewe.
Mdau anaeleza kwamba shemeji yake...
Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi...
Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi?
Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
Kumekuwepo na mijadala inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikizungumzia uondolewaji wa tozo kwenye miamala ya kielekroniki.
Baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa tozo hizi zimefutwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.