KWELI Threads

  • Article Article
Kumekuwepo na mijadala inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikizungumzia uondolewaji wa tozo kwenye miamala ya kielekroniki. Baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa tozo hizi zimefutwa kila...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Article Article
Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari...
17 Reactions
148 Replies
19K Views
  • Article Article
Nimeona mtandaoni kuwa Papa Francis amepigwa stop kwenda Urusi kukutana na Putin Kwa ajili ya mazungumzo. Je, kuna ukweli wa taarifa hii?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Article Article
Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or...
4 Reactions
29 Replies
12K Views
  • Article Article
Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
6 Reactions
8 Replies
5K Views
  • Article Article
Inadaiwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha mkutano wake uliopangwa kufanyika kesho Julai 23,huko Buriaga, Temeke...
10 Reactions
112 Replies
16K Views
  • Article Article
Salaam ndugu zangu, Leo katika pita zangu mitandaoni nimeona baadhi ya kurasa zinazoweka masula ya burudani na habari za Wasanii zikieleza kuwa kuna sauti ya Keefe D imevunja ikikiri kuhusika na...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
  • Article Article
Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi...
19 Reactions
77 Replies
17K Views
  • Article Article
Kiongozi mkuu wa Chama cha EFF amemtaka Raila Odinga kuacha maandamano na kukubali kuwa alishindwa. Amesema pia aache kuvuruga amani nchini Kenya kwani Rais Ruto alipita kwa haki. Julius Malema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Chips ni chakula kinachotengenezwa kutoka kwenye viazi. Chakula hiki kimekuwa kinahusishwa na matatizo mengi ya kiafya ikiwemo magonjwa ya moyo. Wataalam, tusaidieni ni kipi hasa kinachofanya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Article Article
Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Ingawa ni kama utani na inachekesha ila huwezi amini kuwa ng'ombe akijamba/kutoa ushuzi basi kile kitokacho huambatana na gesi ya methane ambayo huzalisha joto na moto/mwanga. Wanaharakati...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Article Article
Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
  • Article Article
Hii dunia ina vitu vya ajabu sana na vya kushangaza. Kuna historia baadhi unaweza unaweza kushangazwa nazo mojawapo ikiwa hii niliyopata kusimuliwa. Msitu wa Nyumbanitu una historia nyingi za...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
  • Article Article
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022...
6 Reactions
15 Replies
6K Views
  • Article Article
Kijana wa miaka 29 aliushangaza ulimwengu kwa kitendo cha kikatili kisichokuwa na chembe ya utu. Inadaiwa baada ya kumpindua na kumuua Rais aliyekuwa madarakani William Tolbert, Samuel Doe...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Article Article
Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania. UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article Article
Salaam Ndugu zangu, katik pitapita zangu mitandaoni hasahasa kwenye mjadala unaomuhusu Dkt Slaa nimekuwa nikikutana na clip fupi ya Sekunde zipatazo 15 ikimuonesha anatamka kuhusu kupindua...
6 Reactions
54 Replies
7K Views
  • Article Article
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Article Article
Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom