KWELI Threads

  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa jokofu likiwa 'switched on' huku milango yake ikiwa wazi, hupelekea kuharibika ndani ya muda mfupi wa matumizi?
2 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article Article
Hii imekaa vipi kitaalam, Msichana mwenye Haemophilia anaweza kufariki dunia pale anavunja ungo?
2 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Hivi malaria inaweza kusababisha kuona mauza uza na kuota ndoto za ajabu? Yaani ndoto za kutisha na kuwa na wasiwasi uliopitiliza Pia mauza uza hasa ya kukabwa shingo, chumba kuwaka moto n.k...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa teknolojia ya electroneurone inaweza kupangiliwa kwa vifaa maalumu ili kumfanya mtu kuhisi amewahi kuwa sehemu hiyo kabla, na watu wale wale huku akizungumza maneno yaleyale...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita. Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Article Article
Hivi ni kweli kuwa ung'oaji wa magego (Meno ya kutafunia) ya juu usiozingatia utaalam huweza kupelekea upofu au kifo kwa asilimia kubwa?
2 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article Article
Ushiriki wa mazoezi ni jambo muhimu kwa afya. Husaidia kuongeza utimamu wa mwili pamoja na kuupa kinga ya kutosha dhidi ya magonjwa, hasa yale yasiyoambukizwa kama kisukari, shinikizo kubwa la...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Article Article
Taarifa ya kusikitisha kidogo kutoka Kata ya Mwana-Mutombo Kijiji cha Mwasinasi Tarafa ya Nkololo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, Diwani kwa jina la Rambo Kidiga anatuhumiwa kuozesha wanafunzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Article Article
Mdau wa JamiiForums ametoa hoja yake kuwa watu wanaokula dagaa hupata faida kubwa zaidi kuliko wale wanaokula samaki wakubwa. Amedai kuwa tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Article Article
Mdau mmoja wa JamiiForums ameelezea kuwa watu wanaokunywa pombe kupita kiasi (Ulevi uliopindukia) wakiacha ghafla matumizi ya pombe wanaweza kufa. Mdau huyu anaeleza kuwa pombe hupunguza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Article Article
Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania...
15 Reactions
80 Replies
17K Views
  • Article Article
Mfano matumizi ya majivu kuchanganya na maji ya uvuguvugu na kunywa masaa 2 kabla ya tendo pamoja na njia nyingine ni matumizi ya unga wa mbegu za papai, ni salama kiasi gani?
2 Reactions
0 Replies
7K Views
  • Article Article
Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article Article
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalokabili wanaume wengi duniani. Kwa mujibu wa tafiti, tatizo hili linazidi kuwa kubwa miaka ya hivi karibuni tofauti na zamani. Katika kutafuta...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Miaka ya 2000s imekumba na mabadiliko mengi ya kiteknolojia ikiwemo uwepo wa safaru za kidigitali ambazo haiziwezi kudhibitiwa na mamlaka za serikali (Benki Kuu). Sarafu za kidigitali...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza...
10 Reactions
9 Replies
15K Views
  • Article Article
Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Article Article
Oicha hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu wanadai imepigwa nchini Tanzania, lakini kutokana na uwekezaji mkubwa ambao Serikali yetu imefanya mimi siamini kama ni kweli...
9 Reactions
34 Replies
7K Views
  • Article Article
MADAI Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya...
21 Reactions
27 Replies
6K Views
  • Article Article
Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo. Ukipita mtandaoni...
5 Reactions
21 Replies
10K Views
Back
Top Bottom