Baada ya Afrika, bara la Amerika Kusini ndilo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku Brazil ikiongoza ikiwa na watu weusi takriban milioni 120.
Nchi ya Argentina...
Nimekuwa katika jamii ambayo unaambiwa ni kawaida mwanamke kupata maumivu anapokuwa katika hedhi, kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakipata maumivu makali wakati wakuingia hedhi na kutokwa na damu...
Kuna taarifa mitandaoni zimekuwa zikisambaa na kutanabaisha kuwa mazoezi ya "kegels" yanaweza kuongeza au kutibu shida ya nguvu za kiume kwa ufanisi, Je ni kweli?
Katika pita pita yangu ndani ya maktaba moja kubwa hapa nchini nimekutana na jina la huyu mtoto, Momčilo Gavrić na taarifa kuwa ndiye mtoto au mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia vitani...
Kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya kutokuwa hai pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale...
Hivi kuna mpapai dume ambao watu wanasema ni ule ambao hauzai ila unatoa maua tu!?!
(b) Kufunga gunzi la mhindi lina maana gani kwa mmea kama mpapai usio zaa ili uzae??
Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba...
Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na...
Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya...
Nimepata kusikia kuwa endapo nyoka akiingia ndani ya makazi ya mtu au nyumba basi njia bora zaidi ya kumtoa bila kumdhuru ni kuchoma kitu cha plastic kama mifuko au ndala na ile harufu inamfanya...
Eti ukikanyaga mifupa ya mnyama au mdudu mwenye sumu na ikakuchoma inaweza kukupelekea madhara kupitia kwa ile sumu ya mdudu au mnyama uliekanyaga mifupa yake iliyokuchoma? Mfano mzuri kwa mifupa...
Nimekutana na picha hii mtandaoni inayodaiwa kupigwa Julai 30, 2024 kwenye michuano ya Olympics inayoendelea. Binafsi siamini, naona kama imetengenezwa.
JamiiCheck tusaidieni kuihakiki.
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
CPA Milton Mailos Lupa
Hello JamiiCheck,
Nimeona mtandaoni ukurasa wa Mtandao wa X wa Watetezi TV ukikanusha madai ya kuwahi huchapisha taarifa ya Rais Samia akisema kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu na...
Hivi ni kweli kuwa ukomo wa kurefuka na kunenepa kwa uume ni miaka 20?
Yaani mtu mwanaume mwenye umri wa miaka 25 au 30, kamwe hawezi ku experience ongezeko la ukubwa wa uume wake?
Kwa maana...
Kuna picha inasambaa ikimuonesha Messi akiwa anamuogesha Yamal wakati Yamal akiwa mtoto. Naomba kufahamu ukweli wa ile picha na ilikuwaje Messi akakatuna na Wazazi wa Yamal enzi hizo.
Nimeona video inasambaa mtandaoni ikimnukuu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akisema kama unataka kujiunga na chama cha wadhulumaji, wizi wa kura, ulaji wa rasilimali za Taifa, giza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.