Nauli ya Lusaka to Johannesburg kwa sasa ni kwacha 700 kwa zile buss sleeper liner na kwacha 600 kwa bus za kawaida kumbuka kwacha 42 ni sawa na tsh elfu kumi kwa sasa HV japo rates hubadilika kila sku
Usijifanye kujua sana hakuna barabara ya kutoka dar to kinshasa hta ya kutoka Lubumbashi to Kinshasa hakuna mm nipo huku ndio maana usafiri mkubwa wa Congo DRC ni ndege ila km anaenda south apande taqwa mpk Lusaka au Zimbabwe then Lusaka au harare achukue bus lingine mpk south nauli ya kutoka...
Mm niliwahi kupiga hiyo ya 1...... Akapokea mwanamke nikamsalimia habari yako baada ya kuona ladhufi yake ni ya MTU kutoka Zanzibar nikamsalimia asalaam aleikum akanijibu ww kafiri achana na mm
Ilishawahi kutokea kahama pia jamaa alikua na demu wake kwenye gari demu akaanza kunyonya huku jamaa ana drive mwisho jamaa akapoteza mwelekeo wakapata ajali jamaa alikufa palepale demu alipona akambia
Diesel hailimwi ww isipokua kuna mimea inayotoa nishati ya kuweza kutumika ktk magari lkn sio diesel Brazil 92% ya magari yao yanatumia ethanol inayotokana na mimea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.