Gharama ya nauli Dar - Johanesburg kwa usafiri wa basi

Apr 12, 2017
28
45
so c
Hiyo njia ya Msumbiji ni njia ya watu wa zamani waliokuwa wakipita kule kwa kukosa Passport au Viza.

Safari ya siku 5 huku ukibadilisha magari kama unakwenda Mbinguni ya nini Hiyo kama una mizigo si utaicha njiani?!

Njia nzuri na ya kisasa Unapanda Zako Falcon kutoka Dar mpaka Harare nauli haizidi 150,000 ni safari ya siku mbili tu.

Ukifika Harare unachukua bus pale Harare to Joberg nauli haizidi Rand 300 ambayo kwa pesa ya Kibongo ni chini ya elfu 50.

Ukitoka Harare Jioni Kesho yake asubuhi upo Zako Park Station Joberg unamsubiri muenyeji yako....Kwa mtu mgeni ambae hana uwezo wa kupanda ndege hii ndio njia nyepesi isiyo na gharama
so clear!
 
zungujose

Member
Feb 25, 2015
70
125
dah 450k si.bora kupnda fastjet mkuu maana dah
Usijifanye kujua sana hakuna barabara ya kutoka dar to kinshasa hta ya kutoka Lubumbashi to Kinshasa hakuna mm nipo huku ndio maana usafiri mkubwa wa Congo DRC ni ndege ila km anaenda south apande taqwa mpk Lusaka au Zimbabwe then Lusaka au harare achukue bus lingine mpk south nauli ya kutoka Lusaka mpk Johannesburg ni kwacha 700 Kwa sasa HV kwacha 42 ni sawa na elfu kumi ya tz
 
zungujose

Member
Feb 25, 2015
70
125
Nimesema nauli ya Lusaka J'berg sikumbuki mkuu ingawa ilikua Ni kwa kwacha na change ilibaki au nikupe picha?
Nauli ya Lusaka to Johannesburg kwa sasa ni kwacha 700 kwa zile buss sleeper liner na kwacha 600 kwa bus za kawaida kumbuka kwacha 42 ni sawa na tsh elfu kumi kwa sasa HV japo rates hubadilika kila sku
 
mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
5,938
2,000
TAQWA dar TO Harare ROAD PORT terminal kwa.... 120000 SH...pale unapanda EAGLE LINER...AU..GO LINER BUS...PIONEER BUS ...GREYHOUND BUS..DNC BUS..CITY LINER BUS..au inter cape bus....kwa RANDS 450... hadi joz..au panda TAQWA DAR hadi LUSAKA INTER CITY BUS TERMINAL... kwa 80000 sh.TU.....pale panda MAZANDU bus....hadi BULAWAYO ZIMBABWE..through VICTORIA FALLS... kwa 20 dolars US... KUTOKA BULAWAYO kwa 450 RANDS hadi JOBERG...utakuta mabasi ya PATH FINDER BUS....EAGLE LINER BUS... INTER CAPE BUS..PIONEER BUS...GREY HOOND BUS..CITY LINER BUS....hadi JOBERG..... Au ukifika LUSAKA PANDA JULDAN Bus ..au INTERCAPE bus hadi JOZ...straight kwa.. .800 RANDS...ratiba za bus....Intercity lusaka bus za JOBERG.. Zinaanza kuondoka saa 3 asubuhi... Saa 7 mwisho....na za ROAD PORT BUS TERMINAL ZIMBABWE.. TO JOBERG ZINAANZA saa 4 ASUBUHI.. Hadi.... Saa 3 usiku.... Na BULAWAYO....to JOBERG.. Saa 4 asubuhi hadi 12 jioni...kazi kwako...
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
27,897

Kiongozi samahani

Naomba nikuulize au niwaulize.ni kweli sauzi ni sehemu nzuri ya kutafuta maisha kuliko Tanzania?nimeuliza tu nataka kufahamu.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Hakuna bus ya moja kwa moja,Zaidi mara chache labda maroli haya ya mizigo nayo ni mara moja moja kwenda South moja kwa moja.

Ila kuna gari za moja kwa moja,Takwa zile Dar to Zimbabwe,Dar to Zambia,Dar - Kinshasha.

Zambia,Zimbabwe au Kinshasha ni rahisi kupata bus za kwenda South Africa.

Budget kwa nauli andaaa 450k nje ya gharama nyingine hadi S.A,uwe na Doc halali tu.

Si bora apande fastjet 500k lisaa na nusu upo oliver tambo
.
 
steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,025
2,000
Usijifanye kujua sana hakuna barabara ya kutoka dar to kinshasa hta ya kutoka Lubumbashi to Kinshasa hakuna mm nipo huku ndio maana usafiri mkubwa wa Congo DRC ni ndege ila km anaenda south apande taqwa mpk Lusaka au Zimbabwe then Lusaka au harare achukue bus lingine mpk south nauli ya kutoka Lusaka mpk Johannesburg ni kwacha 700 Kwa sasa HV kwacha 42 ni sawa na elfu kumi ya tz
ningekuw najua.nisinge uliza ila naul tajwa hapo ni bora ndege sasa lazma nishangae
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,082
2,000
Ebu tuache uzamani ikiwa huna mizigo au kitu chochote unachohisi kitakuletea usumbufu uwanja wa ndege kwanini upande basi, wakati nauli ya ndege ni kawaida tu ukifananisha na hiyo boda to boda maana ukijumlisha time na gharama ndogo ndogo ambazo utakutana nazo ukiwa njiani kwa bus ukija ukijumuisha na nauli uliyotumia unakuta gharama ya ndege ingekuwa bora zaidi kwanza uhakika wa safari pili una save time
 
Ntate Mogolo

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
332
1,000
Mkuu panda ndege ya Kagame. Air Rwanda wapo chini nauli zao kama utafanya booking mapema. Wana ndege ya Dar to OR Tambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom