MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
- Thread starter
- #101
huku najua unakotaka twende, maana tutaishia kuzungushana kama mtu anaekimbia kwenye duara akidhani anakimbia kwenye mstari mnyofu kumbe anazunguka hapo hapo.Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Mungu naamini Yupo.
Imani chanzo chake ni kusikia Sio evidence.
na Kusikia huja kupitia kwa Neno la Mungu.
Kama fundi akidesign kiti, kisha ukapata ujumbe kutoka kwa watu wawili mmja anasema hapana hiki kiti hakijatengenezwa ulitokea mlipuko na gogo likasambaaa na ghafla kiti kikawepo. Mwingine akatokea akasema kilitengenezwa na Fundi si unaona jinsi kilivyopangika, na kila kitu kiko mahala pake kuna uwezekano Sufuri wa kitu kutokea kwa bahati mbaya.
huyo wa kwanza inahitaji uwe na matatizo ya akili kumuamini maana akisema moja anaibua maswali buku.
Tangu nimeamini Mungu yupo, Nazichunguza kazi zake za mikono Scientifically na Historically na Moyo unashiba na Imani inakuwa kila leo mkuu.