UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,212
- 9,633
Hujajibu swali.
Kuna watu walifikiri kwamba dunia ni bapa na hili liko wazi kabisa.
Wakaja kukuta dunia ni duara.
Unaweza ukaeleza swala la hao watu waliyofikiri linahusiana vp na wewe kuupenda ubishi ila hauwezi?