Recent content by zootopia

  1. zootopia

    Zipi ni sababu za uzi fulani kufutwa humu JF

    Soma vigezo na masharti vya JF
  2. zootopia

    Vitoto vya Nguruwe vinauzwa Arusha.

    Kwa wale wakazi wa Arusha wenye mpango wa kufuga Nguruwe nafasi ndyo hii bei ni poa sana. Hao ni wa miezi mitatu.
  3. zootopia

    Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Inamaanisha wale wote waliyo graduate na watakao graduate hawapo capable na careers zao zilizofungiwa katika vyuo husika. Poor Tanzania. God bless us.
  4. zootopia

    Nifanyeje nisiwe na nguo mnato?

    Fanya mazoezi upunguze uzito maana utakuwa na msambwanda mkubwa mno. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. zootopia

    Nilichojifunza Kwa JK, Pinda na Lowassa ktk kilimo

    Pia huyu jamaa anaona kila kitu ni rahisi, anavyoongea inaonyesha hajui hata gharama za kilimo cha bustani za mboga mboga. Mimi ningemshauri aende kule kijijini kwao maana nina uhakika kila mkoa hapa tanzania wanalima then akamuulize bibi yake kilimo cha pamba, mahindi, kunde, viazi au karanga...
  6. zootopia

    Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

    Huyo Jamaa naona atakuwa anashindana na technology. Nafikiri kila toleo la cm ananunua.
  7. zootopia

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    December 17. Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  8. zootopia

    Comment chochote kuhusu Tanzania na Watanzania

    Kama wewe ni Mtanzania au Mwana Afrika Mashariki comment chochote kuhusu Sifa za Tanzania na Watanzania (a.k.a Wabongo na Bongoland). Karibuni...
  9. zootopia

    Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

    Hizo ndo tunaziita athari za Globalization. Mitandao ya kijamii itadumaza akili za vijana wengi wa Kitanzania. Pole sana kaka. Pia jiulize hyo ni simu ya mdogo wako, JE YA DEMU WAKO USHAWAHI IKAGUA?
  10. zootopia

    Urembo ulionishinda mimi.....

    Hongera sana dada kwakukataa utumwa wa Fashion. Sipati picha ulivyo mzuri, nadhani wewe ni mzuri kuliko Miriam Odemba. Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  11. zootopia

    Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

    It's my expression broo. Never mind broo, It's my expression broo. Never mind broo. Let me tell you something broo. You're brainwashed since the first day when your registered to school broo. Your totally right, i'm brainwashed also. But i would like to remind you broo, "Don't waste your time...
  12. zootopia

    Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

    Umenishangaza sana mkuu. You're so yesterday Broo. Wazungu wana same mormphology na binadamu wengine, pia wazungu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na ku^reason. Ukiongelea kuhusu binadamu ukumbuke kwamba kuna species nyingne nying duniani kwa mfano kuna ndege wa angani, hawafanani rangi lakini wote...
  13. zootopia

    Leo Taifa Stars anafungwa 2-0 na Zambia.

    Kwa ninavyoijua Zambia... Siwezi kubashiri. Ila nawatakia bahati nzuri Taifa stars.
  14. zootopia

    Akina dada punguzeni kujirahisisha

    Siyo kwa wanawake wa siku hzi. Hata kama hujaomba gemu wewe, wanaomba wenyewe. Sasa kama mwanamke anatembea hajavaa chupi alafu amevaa mini skirt unatarajia nini.
  15. zootopia

    Uzi Maalumu kwa ajili ya kukosoa Media za Tz (Hususani Runinga na Redio).

    Habari za muda huu Wazalendo wenzangu. Kwa wale wachapa kazi wenzangu, Hongereni sana tena sana kwa Uwajibikaji makini wa kusukuma mbele Gurudumu la maendeleo ya "Tanzania ya viwanda". Hakika tutafika. Pia niwape Pole sana kwa majukumu mazito waliyonayo wale wenzetu Wavivu, Waongo na Wambea...
Back
Top Bottom