Recent content by zoesappien

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

    Hata Mimi nampenda huyu mama sijui kwa nini.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

    Binafsi nitarudi kuwa mshabiki wa diamond uchaguzi ukiisha, kwasasa diamond ananipotezea muda.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Maswali yako yanaonekana yana tija, nadhani wewe unafaa kulisaidia jeshi la polisi.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nikisema 'Magufuliii' unajibu 'Ndo Nani?

    Ndo naniii…
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Sifa kuu nne za mgombea ambaye atakuwa Rais wa nchi

    Lowassa baba
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi Kwa Walimu Kuongezwa Mishahara

    Siku zote walikuwa wapi
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Maajabu mengine: Walimu walazimishwa kwenda kumuaga Kikwete Uwanja wa Taifa

    Amani ya Mungu iamue mioyoni mwao
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Magufuli atangaza neema nchini. Kufuta masharti ya uzoefu wa ajira

    Anachekesha kweli Huyu. Binafsi nikiwa km director siwezi kuajiri mtu asiye na uzoefu...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel na Ray wamerudi CCM

    Aliondoka slaa UKAWA haikutetereka. Sina hofu na kuondoka kwao coz hata walipokuja Mimi sikunotice.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa mashuleni, vyuoni

    Ukiwa huna jicho la kuona unapoelekea ndoa itakujaje? Hayo ni maamuzi ya wawili au tamaa tu. Mbona wengine tumekutana na wake zetu vyuoni.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    We ota tu ndoto zako za mchana mchana, CCM warudi tena madarakani wapiga kura tumerogwa au?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Ni kweli, CCM tumuombe msamaha lowassa coz km uchaguzi ungefanywa Leo kweli tungeshindwa. Tufumbue macho tujisahihishe.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Viva lowasa
Back
Top Bottom