Me Nakushangaa Mana Sijasoma Sekondari.Wewe Umekariri Kua Kila Mwana Jf Kafika Sekondari?Mie La Saba Bwana!!
Nilikopeshwa 100%ila Nimekaa Hostel Miaka3 Na Sijawai Panga Nje Na Manzi Kama Masela Man
Mkuu ulichoandika hapo kitaalamu tunaita"uandishi malaya"..Yani unarukaruka tu..unaongea hiki kabla hujamaliza umerukia hiki..Jaribu kuiunga story yako vizuri
Nimecheka sana.
Yeah wapo waliokutana chuo na sasa ni mke na mume tena wengi tu
Hivi Uwewe mtoa mada BUMIJAumelewa bangi au? mARA UNASEMA UMEISHIA LA SABA, MARA UNASEMA UMEKAA HOSTEL CHUO MIAKA MITATU, MARA UNASEMA UMEDISCO, MARA UNASEMA UNAPIGA DEBE UBUNGO. Who the hell are you cheating mother f..........? Ujue wengine tunakufahamu ABC zako zote details zako in and out, ila tunakuheshimu tuu na ulofa wako. JF sio mahali pa kuja kudanganya watu, MODS please sheria inasemaje mtu anapokuja kutudanganya hapa jukwaani kutupotezea muda wetu?
Lakini Kumbuka Chuo Ulienda Kusoma So Kitu Cha Kuzngatia Unapoenda Chuo Ni Masomo, Hiyo Sio Ajali Ni Ujinga Wa Kutegmea Mapenzi Zaidi Ya Kilichompeleka!! Binafsi Toka Primary, Chuo Mpaka Job Sijawahi Kuwa Na Demu Maeneo Hayo.
Kuoa/Kuolewa Ni Mipango, Sio Lazima Katika Umri Huo!!! Watu Wanaishi Na Wapenz Wao Wa Nje Ya Chuo Then Ndoa Inafungwa Wakiwa Kwenye 32 N.k Hivi Na Wana Familia Kubwa Tuuuu.inategemea na malengo yako.
chukua mfano wa binti anayesoma udaktari na anamalengo ya kupata PHD, je naye asubiri mpaka afikie hapo? maana degree tu ana miaka 25..huyo lazima aolewe huku bado anasoma.
mbona vyuoni kuna wanandoa wengi tu, na wanaishi vizuri, ishu ni mipango sahihi.
Hivi wewe mtoa mada BUMIJAumelewa bangi au? mARA UNASEMA UMEISHIA LA SABA, MARA UNASEMA UMEKAA HOSTEL CHUO MIAKA MITATU, MARA UNASEMA UMEDISCO, MARA UNASEMA UNAPIGA DEBE UBUNGO. Who the hell are you cheating mother f..........? Ujue wengine tunakufahamu ABC zako zote details zako in and out, ila tunakuheshimu tuu na ulofa wako. JF sio mahali pa kuja kudanganya watu, MODS please sheria inasemaje mtu anapokuja kutudanganya hapa jukwaani kutupotezea muda wetu?
kwanza nakushukuru mtoa mada nnchotaka kusema nikwamba love its just like an accident hamna anayesema ngoja nianze kupenda. ila ni automatically so cha muhimu in kuwa muangalifu usije vuruga ambition zako huko chuo na itakuwa hivyo kama kweli unafuture na huyo demu ila chamsingi concetrate na masomo.
Nilikua nakiu ya kufika chuo kikuu na nikajaliwa nikafika.Nilihadithiwa kua chuo kikuu kuna madem wakali na unalipwa huko,nikawa nasoma kwa juhudi ili nikapaone.Chuoni Watu wanaoana na kupendana sana hadi wanazalishana.
Ila Wanawake wengi hutelekezwa na wanaume pia wanadanganywa.Jamaa yangu alipanga na dem nje ya chuo ambae alikua first year na jamaa akiwa 2 year.Jamaa Alipomaliza wakakubaliana waende na msichana kwao.
Walipofika Stand jamaa akamwambia msichana nisubiri naenda dukani.Jamaa Alitoweka kusikojulikana mana yeye alikua tayari kamaliza 3year.Dada Alipagawa na akaumia sana.Je Unayaonaje mapenzi ya shule na chuo?
Je, ni sehemu sahihi ya kua na wapenzi?Je Tunaokopeshwa na bodi unadhani wao wanakukopesha ili ukafanye ulayama huko chuo?Je Kwenu hakuna wachumba?
Lakini Kumbuka Chuo Ulienda Kusoma So Kitu Cha Kuzngatia Unapoenda Chuo Ni Masomo, Hiyo Sio Ajali Ni Ujinga Wa Kutegmea Mapenzi Zaidi Ya Kilichompeleka!! Binafsi Toka Primary, Chuo Mpaka Job Sijawahi Kuwa Na Demu Maeneo Hayo.
No!! Nimezungumzia Chuon Na Kazini. Nadhani Unaelewa!!Kwahiyo mkuu chuo umeenda kusoma, usiwe na mchumba soma tu.
Kazini umeenda kufanya kazi, fanya kazi tu usiwe na mpenzi.
Kanisani/msikitini umeenda kusali, sali tu.
Kwenye dala dala hivyo hivyo na sehemu nyingine. Basi kwa jinsi hiyo watu wasingekuwa wanapata wenzi wao.
Kwahiyo mkuu chuo umeenda kusoma, usiwe na mchumba soma tu.
Kazini umeenda kufanya kazi, fanya kazi tu usiwe na mpenzi.
Kanisani/msikitini umeenda kusali, sali tu.
Kwenye dala dala hivyo hivyo na sehemu nyingine. Basi kwa jinsi hiyo watu wasingekuwa wanapata wenzi wao.