mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 770
- 451
Duuuu wameongeza kwel au zengwe
Wafanyakazi wote wa serikali wameongezewa kimya kimya na wanapata pesa nzuri sasa hivi,Mfanyakazi mmoja afya amenidhibitishia tangu mwezi uliopita ila hata wenyewe wamekaa kimya wanaogopa kuwa mlipuko wa bei utapanda na wengi watadaiwa sana na wakopaji.Hilo la walimu inawezekana maana si wameandikiwa barua kuwa wote lazima wamuage(Kibamba sec) kama ule uzi humu ndani ulivyoelezea!!
Mhhhhhh sidhan kama ni kwa walimu wote, wanao weza ni wale waliokuwa wamefikia bar (daraja E,)